SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

kwan ungekata mapema usingepata? ama mwanaume unalalamikaje vitu vidogo kama hivo
Umezoea mfumo nyonyaji sana pengine ni kuanzia kwenye familia hata mambo ya hovyo unaona sawa tu.
 
Umezoea mfumo nyonyaji sana pengine ni kuanzia kwenye familia hata mambo ya hovyo unaona sawa tu.
kama hukubaliana na bei anayokupa si unaachana nayo unapanda magari ama chukua ndege
 
we nae buku 5 ni kitu cha kuja kulia mtandaoni?
Nadhani upo kwenye mtandao wa wizi wa haki za watanzania, ningepata wasaa ningekudaka na kukufikisha panapotakiwa kisheria nyie ndio mnarudisha nyuma taifa hili.
 
Nadhani upo kwenye mtandao wa wizi wa haki za watanzania, ningepata wasaa ningekudaka na kukufikisha panapotakiwa kisheria nyie ndio mnarudisha nyuma taifa hili.
Kigogo chadema afungua kesi kushtaki buku 5 ya dalili 🤣 🤣 , yaani badala uje na mada watu wanaoiba mabilioni ambayo mtu akinyanganywa yanaweza kutumika unamkunjia moyo mwananch wa chini anaejipatia buku 5 🤣🤣
 
Kwa vile tu uko huko mkuu, hakuna mahala katika nchi hii mambo yako shwari. Nchi imeoza kila pembe watu wanajipimia kwa size zao na bado hakuna anayejari, frankly speaking we need somebody
Kabisa nchii hii hakuna mahali ambapo pako safi upuuzi na upigaji haupo.. ila unavyosema eti we need somebody una maana gani?

akipatikana mtu wa kukomesha upuuzi kama huu si ndio wabongo wanamchukia na hata kumuombea kifo au? Na ikitokea amekufa wanafanya sherehe kabisa.

Mimi naona mpaka hapa tayari tumeshapotea, cha kufanya hapa ni wabongo kuungana na CDM kukomaa katiba mpya ipatikane ambayo ndio itakuwa mwarobaini wa matatizo yote haya.
 
Hii kitu mbaya sana
 
Kigogo chadema afungua kesi kushtaki buku 5 ya dalili 🤣 🤣 , yaani badala uje na mada watu wanaoiba mabilioni ambayo mtu akinyanganywa yanaweza kutumika unamkunjia moyo mwananch wa chini anaejipatia buku 5 🤣🤣
Wizi ni wizi
wapigaji ni raia siyo vyama
 
Nadhani upo kwenye mtandao wa wizi wa haki za watanzania, ningepata wasaa ningekudaka na kukufikisha panapotakiwa kisheria nyie ndio mnarudisha nyuma taifa hili.
Yaani mtu kama anaweka mabendera ya ccm kwenye avatar yake wewe unategemea atakuwa na akili zinazofanya kazi kweli?

Wafuasi wengi wa ccm hawana tofauti na maiti zinazotembea kwa maana akili zao walishazifikia chini ya matumbo yao, ndio maana ni jambo la kawaida kuona wakitoa majibu mepesi kwenye mambo muhimu yanayogusa maslahi ya uma.
 
 
Acha ushamba nenda kafanye siasa jukwaani, mmeshindwa huko mnadandia kila post, bwege kweli
Wewe umewehuka. Na ni jambo moja tu linalokufanya uwe chizi.

Sasa kwa vile mmejipambanua waziwazi, na wala siyo kwa kificho tena; subirini majibu mtakayopewa na waTanzania.
 
45 min uwe umelipia. Which is reasonable time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…