Jagarld
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 2,618
- 3,294
Wangekuwa wanawatumikia wananchi wasingekuwa wezi wa kura waliokubuhu.Kumbe hawawatumikii wananchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangekuwa wanawatumikia wananchi wasingekuwa wezi wa kura waliokubuhu.Kumbe hawawatumikii wananchi?
Mbona ameongea kweli labda kama una chuki binafsiHuyu nae ni mlopokaji, hata hana access ya kujua kinachoeendelea
Kweli kabisa mkuu.Moja ya vitu nilivyojifunza katika maisha- ni kutokumchukulia poa bosi (kutokumdharau bosi)-kwa kuwa ndiye aliyeshika mpini wa kisu kwa wakati huo. Haijalishi huyo bosi ni kilaza kiasi gani. Unatakiwa uishi naye kwa akili. Kumwonyesha dharau za wazi au hata za kificho ni hatari kwako wewe uliyeshika makali ya kisu.
Hana tamaa ya urais kama akina waleHuyu jamaa ataendelea kuwa mbunge wa gairo mpaka afariki hakuna mtu wa kumtoa hapo
Kumbe hawawatumikii wananchi?
Ni kweli kabisa mkuu. Hapa Bongo uwaziri ni tiketi ya kuwaza urais. Angalia mawaziri wengi ndiyo wanawaza urais. Ni kama shetani alivyotamani kuwa sawa na Mungu aliyemuumbaMoja ya vitu nilivyojifunza katika maisha- ni kutokumchukulia poa bosi (kutokumdharau bosi)-kwa kuwa ndiye aliyeshika mpini wa kisu kwa wakati huo. Haijalishi huyo bosi ni kilaza kiasi gani. Unatakiwa uishi naye kwa akili. Kumwonyesha dharau za wazi au hata za kificho ni hatari kwako wewe uliyeshika makali ya kisu.
Anasema kweli lakini labda kama hujui uhuru wa kujieleza..Shabiby anazungumza utadhani nchi yetu ni mali ya Raisi.
..kinachosikitisha na kutia aibu ametoa kauli hizo ktk mkutano wa hadhara.
Yaani wote wachangiaji wa mwanzo hawakuona hii point muhimu sana. Ila hili ndiyo ukweli wenyewe. Wananchi hawana chao. Na bila wananchi kuamka na kukinukisha hali itaendelea kuwa mbaya.Kumbe hawawatumikii wananchi?
Yaani tajiri chawa imagneSio wakwanza kuwatumikia ni Wananchi? Kumbe kuna matajiri machawa?
Bagonza Alisema HayoKumbe hawawatumikii wananchi?