Pre GE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Moja ya vitu nilivyojifunza katika maisha- ni kutokumchukulia poa bosi (kutokumdharau bosi)-kwa kuwa ndiye aliyeshika mpini wa kisu kwa wakati huo. Haijalishi huyo bosi ni kilaza kiasi gani. Unatakiwa uishi naye kwa akili. Kumwonyesha dharau za wazi au hata za kificho ni hatari kwako wewe uliyeshika makali ya kisu.
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Ni kweli kabisa mkuu. Hapa Bongo uwaziri ni tiketi ya kuwaza urais. Angalia mawaziri wengi ndiyo wanawaza urais. Ni kama shetani alivyotamani kuwa sawa na Mungu aliyemuumba
 
Back
Top Bottom