ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nmekuiliza wewe usihamishe magoli, before Manara Yanga isha chukua ubingwa mara 27 leo ndio aje kuisadia?Hayo maswali unaonaje angeulizwa na mapresenter walio host ile interview ambapo alisema amekuja Yanga atafanya kazi kama punda kuhakikisha mpaka wanachukua ubingwa?
Hiyo mara 27 unaweza kutuhesabia?Nmekuiliza wewe usihamishe magoli, before Manara Yanga isha chukua ubingwa mara 27 leo ndio aje kuisadia?
Acha ushabiki wa kijinga na kipumbavu ina maana hujui kuwa yanga bigwa Mara 27? Unataka uhesabiwe kiaje sasa?Hiyo mara 27 unaweza kutuhesabia?
Tunahitaji wachezaji wenye viwango. Morrison ni mojawapo. Coach amemhitaji wewe shabiki unachotaka ni matokeo. Mengine waachie wachambuzi wa mchongo. Ati nidhamu hana wenye nidhamu kina Chico Ushindi umeona impact yao kwenye matokeo?Kwa akili za mashabiki kama wewe ni ngumu sana Yanga kupata mafanikio katika soka la Africa. Mashabiki wapumbavu na waswahili, huzalisha viongozi wapumbavu na waswahili pia.
Utapoteza energy yako ya bure kwa huyo mjingaAcha ushabiki wa kijinga na kipumbavu ina maana hujui kuwa yanga bigwa Mara 27? Unataka uhesabiwe kiaje sasa?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hapa tunajadili mambo kwa data na sio kwa mazoeaAcha ushabiki wa kijinga na kipumbavu ina maana hujui kuwa yanga bigwa Mara 27? Unataka uhesabiwe kiaje sasa?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
tuhesabie shida iko wapi bwana utohAcha ushabiki wa kijinga na kipumbavu ina maana hujui kuwa yanga bigwa Mara 27? Unataka uhesabiwe kiaje sasa?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Tanzanian Premier League[6]Hapa tunajadili mambo kwa data na sio kwa mazoea
Hili swala lilishaletwa hapa na kujadiliwa sana humu na hakuna conclusion iliyopatikana kuonesha Yanga wametwaa mara 27 ubingwa.
Hakuna data ambazo zinaonesha Yanga amechukua ubingwa mara 27 ikiwemo hadi lfficial site ya Yanga hakuna
Weka hapa niambie mwaka gani hadi mwaka gani ambao yanga alichukua ubingwa na tukihesabu tutafikia hizo figure 27
Tanzania premier league ilianza kutambulika mwaka 1997 kutoka First Division Soccer League so figure za uto kubeba ubingwa wa Tanzania Premier League zianze kusomeka kuanzia mwaka 1997 na sio 1968 ambako ilikuwa inatambulika kama National League/First Division Soccer
na kama ni Tanzania Premier League ambayo ilitambulishwa 1997 Uto hajafika vikombe 27 tangu ligi kuu bara itambulishwe mwaka 1997
Ndio nini sasa hii?Young Africans is the biggest club in Tanzania. The club has won 27 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league was formed in 1965 as the "National League". Its name was later changed to the "First Division Soccer League", and to the "Premier League" in 1997.Tanzania premier league ilianza kutambulika mwaka 1997 kutoka First Division Soccer League so figure za uto kubeba ubingwa wa Tanzania Premier League zianze kusomeka kuanzia mwaka 1997 na sio 1968 ambako ilikuwa inatambulika kama National League/First Division Soccer
Hii nimeitoa kwenye official site yao ebu nisaidie kuhesabu hapona kama ni Tanzania Premier League ambayo ilitambulishwa 1997 Uto hajafika vikombe 27 tangu ligi kuu bara itambulishwe mwaka 1997