Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani
Mimi nadhani dhumuni la adhabu ni kukomesha kosa kama Hilo lisifanyike tena.
Chaula amejirekodi alichokifanya na kukituma mtandaoni.
Maneno yake na vitendo vyake vinaweza kusababisha chuki,taharuki na hasira kwa umma.
Tatizo mnadhani watu wote hapa Nchini hawampendi Rais,na wamefurahishwa na picha yake kuchomwa,sio kweli.
Mkuu hapa kwa nilivyofuatilia hili jambo raia sio kwamba wamefurahishwa au hata kukasirishwa kwa kuchomwa kwa picha hiyo.
Watu wamekasirishwa kwa kitendo cha Serikali kuonekana kufuatilia vitu vidogo vidogo sana wakati kuna matatizo makubwa sana ambayo yamefungiwa macho mfano ubadhirifu unaoibuliwa na CAG kila mwaka.
Serikali ingeachana na mambo madogomadogo kama hayo huyo kijana kama sio RC wa mbeya kukurupuka na kutaka akamatwe habari yake hata isingesambaa.
Huko mitandaoni mbona watu wanapost mambo ya ajabu ajabu na wala hawafuatiliwi.
Baadhi ya viongozi liwe fundisho kwao waache kukurupuka kama hii ishu ya huyu kijana imewapa sintofahamu wenye mamlaka kwamba wananchi wameamua kumchangia fedha kwamba wamefurahia kitendo cha huyo kijana kuchama picha ya Rais wao.
RC wa mbeya ujue umekurupa na umemdhalilisha Rais na bosi wako kwa kuweka wazi kwamba wananchi wengi hawampendi hadi wanafurahi kuchomwa kwa picha yake
 
Ninamtakia kila la heri katika kesho yake...hiyo ilikuwa ni initiation kwenye uanarakati
 
Ujasiri wake unatakiwa sana kwenye Taifa hili ambalo asilimia kubwa ya Vijana wake wamefanywa Mazezeta wa Mama.
 
Kumbe hata picha aliichora mwenyewe? Kumbe ni mali yake?

Sasa kosa lake liko wapi hapo?

Hayo matusi ni yepi hasa aliyotukanwa huyo Samia?

Na ni Samia gani, huyu Rais au ni rafiki tu wa huyu dogo?

Huu uonevu wa CCM lazima ukome.

Na hiyo pesa TZS 5,000,000 lazima irudi kwa mzee Chaula itumike kwa ajili ya familia

Hawawezi kumwibia huyu dogo kwa ujambazi wa mahakama!!
Kosa wamesema ni maneno aliyaongea wakati anachoma hiyo picha
 
Hongera sana, MWAMBA. Umeandika historia mpya kama kama yule Bwana aliyemtandika na viatu George Bush kule Iraq.
 
Suala huu Ushoga anaopigia kelele kwani umeanza Hii miaka 3 ya Rais Samiha au Kuna agenda nyingine
Rais yupo na atukuwepo MUNGU Ndio anjuwa mwisho wake
 
Mimi nadhani dhumuni la adhabu ni kukomesha kosa kama Hilo lisifanyike tena.
Chaula amejirekodi alichokifanya na kukituma mtandaoni.
Maneno yake na vitendo vyake vinaweza kusababisha chuki,taharuki na hasira kwa umma.
Tatizo mnadhani watu wote hapa Nchini hawampendi Rais,na wamefurahishwa na picha yake kuchomwa,sio kweli.
Uko sahihi kabisa kuwa si wote hawampendi huyo uliyemtaja, ila asilimia kubwa hawampendi.
 
Shadrack Chaula (24) ameachiwa huru leo Julai 8, 2024 baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu alipohukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.

Pia soma: Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, Julai 2, 2024 alionekana kupitia kipande cha video akichoma moto picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, alihukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya, alishindwa kulipa faini na kwenda jela, Wadau mbalimbali walianza kumchangia fedha kupitia Mtandao kwa nia ya kumlipia faini.

Wakili Michael Lugina amesema “Sisi Mawakili tumekuja kusimamia zoezi la kumlipia faini iliyochangwa na Wadau wa Mtandaoni, tayari ametoka na tumekamilisha mchakato lakini tunafanya taratibu nyingine za kukata rufaa kwa maana ya kupinga mwenendo wote wa kesi.”

Wakili Peter Kibatala, ameandika haya.

Ladies and Gentlemen;

As can be evidenced by the photo; Mr. Shradrack Yusuph Chaula is free.

You paid for his freedom; and for freedom of speech in this country.

My boys: Adv. Mike Michael Mwangasa, Thank You. You treated Me as Your elder Brother;and Your names shall live forever. I love both of You;so much.

Dear country:We kept out solemn vows to Mzee Chaula. We promised that by Wednesday 10th July 2024 we should have his Son released. Here we are:ready to be showered in all his blessings.

====

Msanii wa picha nchini Tanzania aliyetuhumiwa kuchoma moto picha ya Rais Samia Suluhu Hassan amechangiwa Sh.6.5 milioni kulipa faini ya Chaula ili aachiliwe kutoka jela.

Watanzania kupitia mitandao ya kijami ya X (zamani ikiitwa Twitter) na Instagram walijitokeza kumchangia Shadrack Chaula mwenye umri wa miaka 24, ili aweze kulipa faini.

Chaula alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au faini ya takriban dola $2,500 baada ya kupatikana na hatia ya uhalifu wa mtandaoni.

Alikamatwa kwa madai ya kurekodi video ya mtandaoni, iliomuonyesha akiichoma picha ya Rais Suluhu huku akimtukana kwa maneno.

Pia soma: Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

Mchoraji huyo mwenye umri wa miaka 24 alikiri kutenda uhalifu huo na kushindwa kutetea hatua yake mahakamani.

Kukamatwa kwake kulizua utata wa kisheria, huku baadhi ya mawakili wakisema kuwa hakuna sheria iliyovunjwa katika kuchoma picha hiyo.
Ni jambo jema, kila la heri kwake.
 
Hakuwa na kosa alichoshwa kama Watanzania wengine kwa jinsi nchi inavyoendeshwa. Kwa kweli tumeichoka CCM.
 
Shadrack Chaula (24) ameachiwa huru leo Julai 8, 2024 baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu alipohukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.

Pia soma:
Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, Julai 2, 2024 alionekana kupitia kipande cha video akichoma moto picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, alihukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya, alishindwa kulipa faini na kwenda jela, Wadau mbalimbali walianza kumchangia fedha kupitia Mtandao kwa nia ya kumlipia faini.

Wakili Michael Lugina amesema “Sisi Mawakili tumekuja kusimamia zoezi la kumlipia faini iliyochangwa na Wadau wa Mtandaoni, tayari ametoka na tumekamilisha mchakato lakini tunafanya taratibu nyingine za kukata rufaa kwa maana ya kupinga mwenendo wote wa kesi.”

Wakili Peter Kibatala, ameandika haya.

Ladies and Gentlemen;

As can be evidenced by the photo; Mr. Shradrack Yusuph Chaula is free.

You paid for his freedom; and for freedom of speech in this country.

My boys: Adv. Mike Michael Mwangasa, Thank You. You treated Me as Your elder Brother;and Your names shall live forever. I love both of You;so much.

Dear country:We kept out solemn vows to Mzee Chaula. We promised that by Wednesday 10th July 2024 we should have his Son released. Here we are:ready to be showered in all his blessings.

====

Msanii wa picha nchini Tanzania aliyetuhumiwa kuchoma moto picha ya Rais Samia Suluhu Hassan amechangiwa Sh.6.5 milioni kulipa faini ya Chaula ili aachiliwe kutoka jela.

Watanzania kupitia mitandao ya kijami ya X (zamani ikiitwa Twitter) na Instagram walijitokeza kumchangia Shadrack Chaula mwenye umri wa miaka 24, ili aweze kulipa faini.

Chaula alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au faini ya takriban dola $2,500 baada ya kupatikana na hatia ya uhalifu wa mtandaoni.

Alikamatwa kwa madai ya kurekodi video ya mtandaoni, iliomuonyesha akiichoma picha ya Rais Suluhu huku akimtukana kwa maneno.

Pia soma:
Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

Mchoraji huyo mwenye umri wa miaka 24 alikiri kutenda uhalifu huo na kushindwa kutetea hatua yake mahakamani.

Kukamatwa kwake kulizua utata wa kisheria, huku baadhi ya mawakili wakisema kuwa hakuna sheria iliyovunjwa katika kuchoma picha hiyo.
Mungu mwenye mamlaka yote, tunakuomba uwajalie neema zako zote waliompunguzia maumivu kijana huyu. Na aibu awavae wote waliokusudia kumtesa na kumwangamiza.
 
Mchango wangu ilikua n sehemu y yy kutoka.viva!!! Si haba!!

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Safi sana. Huyo dogo kuna uwezekano ana karama ya uongozi.
Akachome picha nyingine, mazombi wenzake wenye Hela za kumlipia faini wapo kibao , hata jela wapo tayari kufungwa pamoja ikibidi.
 
Back
Top Bottom