Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Wewe ni mwehu. Nimekuuliza ulitaka ateuliwe nani ukaniambia kuna watu million 60.

Nakaona hili jamaa vipi?? Million 60 watu watateuliwaje?? Nakuuliza tena unaniletea story za uzalendo.

Sema ulitaka ateuliwe nani?? Msukuma mwenzenu??
 
Unataka nchi ya mazoba kila kitu hewala?
kwa tabia hizi ndio maana chuma aliamua kuwapeleka mwendo wa mateka.
hakukosea kabisa, alijua fika nchi hii kila mtu anajifanya mjuaji hivyo ukiwasikiliza hutofikia malengo, bora kuweka pamba masikioni.
Mbona tulisha zoea mwendo wa mateka na tulisha fika mbali tu ila sasa kuna watu wanataka turudi nyuma, kamwe Mama usikubali.
 
Ameteuliwa kwa uwezo wake, ameshika nafasi kadha wa kadha katika chama hivyo wana imani naye, mambo ya kusema ataumiza makundi ndani ya chama hizo ni ramli chonganishi ulizoamua kwa hiari yako kuziamini, sio kosa letu
 
Uteuzi wa Shaka ni dharau kubwa sana kwa Magufuli,labda ni Kwa vile ni zamu yetu Wazanzibari.
Your browser is not able to display this video.
 
Vijana tafuteni HELA.....Acheni upuuuzi kujadili ya watu wakati hata sent hupat
 
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.

Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.

Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Acha unafiki habari Haina hata nyama
 
Kwanini watu wakijadili mapungufu ya mtu mnaita majungu? Magu alituambia amemsimisha kazi Shaka kwa rushwa Sasa vp tena kateuliwa.
kama kawaida yetu, tumejaaliwa majungu na fitina.

sijui hizi tabia za kufitiniana na majungu zitakwisha ln. tabia mbaya sana hizi, nazichukia sana!

viongozi kemeeni tabia hhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…