Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Wewe ni mwehu. Nimekuuliza ulitaka ateuliwe nani ukaniambia kuna watu million 60.Naona unazunguka mbuyu. Shoga, mla rushwa ambaye yupo kwenye record hatummtaki. Mtu ambaye alisimimishwa kwa tuhuma nzito.
Unatetea ujinga na upumbavu, sisi wazalendo tunataka aanze vizuri , aendelee kuaminika na kuaminiwa na Watanzania wote. Teuzi hii haisaidii.
Nimeeleweka? Ukiwa na akili timamu utaelewa otherwise, tembea.
Nakaona hili jamaa vipi?? Million 60 watu watateuliwaje?? Nakuuliza tena unaniletea story za uzalendo.
Sema ulitaka ateuliwe nani?? Msukuma mwenzenu??