Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

😍😍😍
 
Kika jambo Jema lina Changamoto zake
Tutarajie Vi Chanel Vya Hovyo Hovyo Kujaa
 
Je ni wameondoa usajili wa youtube pia? Maana ilikuwa haina haja eti kumiliki youtube account lazima ulipie
 
Samia ni Rais bora
 
Hawa vijana wa ccm wanatakiwa wapelekwe semina za ujasiriamali ili watumie muda wao mwingi kutafuta pesa na sio kuunga mkono kila hoja hadi ambazo hazina malengo!
 
Hawa vijana wa ccm wanatakiwa wapelekwe semina za ujasiriamali ili watumie muda wao mwingi kutafuta pesa na sio kuunga mkono kila hoja hadi ambazo hazina malengo!
Mzee wewe ni mjasiriamali eneo gani?

Hongera Sana, hayo ndio matunda ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…