🤣🤣🤣Madogo tafuteni PESA haya mapambio mnayotoa ni aibu mnajidhalilisha tafuteni kazi hizi sio kazi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Madogo tafuteni PESA haya mapambio mnayotoa ni aibu mnajidhalilisha tafuteni kazi hizi sio kazi kabisa
chini ya ccm au vipi? Ccm imejifunza🤣🤣Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Zaidi ya miaka 6 tulikwama
CCM ni majangili tupuccm imekuwa TCRA? mnatafuta kodi kwa fujo🤣🤣
😁😁😁kweli CHADEMA mnaweza mkaiita CCM jangili,CCM ni majangili tupu
Za CCM zaidi ya 300B ziko wapi?😁😁😁kweli CHADEMA mnaweza mkaiita CCM jangili,
Nenda muulize Mbowe zile TZS 26BL za ruzuku ziko wapi (2015-2020)
Otherwise endelea na "Joining "😀😀
😍😍😍View attachment 2193882
Observations ,
Ukiondoa mfumuko wa Bei Tanzania,
Rais Samia Suluhu anafanya vizuri sana karibu katika kila idara,
Kwenye kilimo mama anaupiga mwingi,
Kwenye afya Mama anaupiga mwingi,
Kwenye Utawala wa Sheria mama anaupiga mwingi,
Kwenye Uchumi Mama anaupiga mwingi,
Kwenye diplomasia mama anaupiga mwingi,
Kimataifa mama anaupiga mwingi,
Yaani mama anaupiga, anaupiga anaupiga mwingi kwelikweli,
Endelea.....
Ila kwakweli CHADEMA ukimtoa Dk Slaa wengine majizi tuZa CCM zaidi ya 300B ziko wapi?
Simpo naye CCM?Ila kwakweli CHADEMA ukimtoa Dk Slaa wengine majizi tu
😂😂😂😂factIla kwakweli CHADEMA ukimtoa Dk Slaa wengine majizi tu
acha kabisa kuilinganisha CCM na vitu vya ajabu ajabu,Za CCM zaidi ya 300B ziko wapi?
Si uleze?acha kabisa kuilinganisha CCM na vitu vya ajabu ajabu,
Je ni wameondoa usajili wa youtube pia? Maana ilikuwa haina haja eti kumiliki youtube account lazima ulipieView attachment 2193845
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.
Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye kwa kushusha gharama za kusajili "Online TV" kutoka TZS 1,000,000 ( milioni moja) ya awamu iliyopita hadi TZS 50,000 ( elfu hamsini ) ya sasa kwa kutambua kuwa kwasasa duniani " Mitandao ni Ajira".
Wakati huohuo, Amempongeza sana Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Pamoja na Waziri Nape Moses Nauye kwa kuvifungulia vyombo mbalimbali vya Habari vilivyofungiwa kwa muda mrefu kwani Vimerudisha ajira kwa Watanzania wanyonge na vimeongeza wigo wa kupata habari na wanahabari.
Aidha, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kutekeleza kisawasa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020|25 hasa kifungu cha 125,kinachosisitiza Uhuru wa habari na wanahabari kwa WATANZANIA wote "Na ndio sababu leo watu wanakosoa na wanabaki kuwa salama " alilisisitiza bwana Shaka Hamdu Shaka.
Ndg Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha "Jambo Tanzania", Mikocheni Jijini Dar es Salaam Leo Jumanne 19 Aprili, 2022.
Vijana wepi mzee? Hebu acha unaziSerikali Sikivu duniani ni ya CCM TU,
MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ,
VIJANA TUNAKUELEWA SANA,
KEEEP ON MOVING,
Samia ni Rais boraView attachment 2193845
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.
Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye kwa kushusha gharama za kusajili "Online TV" kutoka TZS 1,000,000 ( milioni moja) ya awamu iliyopita hadi TZS 50,000 ( elfu hamsini ) ya sasa kwa kutambua kuwa kwasasa duniani " Mitandao ni Ajira".
Wakati huohuo, Amempongeza sana Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Pamoja na Waziri Nape Moses Nauye kwa kuvifungulia vyombo mbalimbali vya Habari vilivyofungiwa kwa muda mrefu kwani Vimerudisha ajira kwa Watanzania wanyonge na vimeongeza wigo wa kupata habari na wanahabari.
Aidha, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kutekeleza kisawasa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020|25 hasa kifungu cha 125,kinachosisitiza Uhuru wa habari na wanahabari kwa WATANZANIA wote "Na ndio sababu leo watu wanakosoa na wanabaki kuwa salama " alilisisitiza bwana Shaka Hamdu Shaka.
Ndg Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha "Jambo Tanzania", Mikocheni Jijini Dar es Salaam Leo Jumanne 19 Aprili, 2022.
Mzee wewe ni mjasiriamali eneo gani?Hawa vijana wa ccm wanatakiwa wapelekwe semina za ujasiriamali ili watumie muda wao mwingi kutafuta pesa na sio kuunga mkono kila hoja hadi ambazo hazina malengo!
😀😀😀Mkuu, am back again, kazi iendeleeVijana wepi mzee? Hebu acha unazi
Bora sana, yuko kwenye rank za juu sana duniani,Samia ni Rais bora