Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

Afungue na kale ka tv ka shule ya uongozi ili nako kamkosoepo.
 
Heeee ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ wazalendo wa kwel c ni wale jamaa wa awamu ya gwara mkuu?
๐Ÿ˜Hakika huyu Mama anauzalendo mkubwa ndani yake,

Anajua shida za watoto wa Masikini,

Anajua shida ya Ajira duniani,
 
Madogo tafuteni PESA haya mapambio mnayotoa ni aibu mnajidhalilisha tafuteni kazi hizi sio kazi kabisa
Kama wale wa awamu ya gwara ๐Ÿ˜‚ ilikua ni mapambio ucku kucha! Mtu kanusurika ajali anapewa sifa Rais ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Safi sana Rais Samia,

Hapa Mzee Kubenea anatakiwa amshukuru sana huyu mama na magazeti yake ya Mwanahalisi,Mawio,

Kazi iendelee, tuko vizuri Sana Tanzania,
Nailed ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
View attachment 2193882

Observations ,

Ukiondoa mfumuko wa Bei Tanzania,

Rais Samia Suluhu anafanya vizuri sana karibu katika kila idara,



Kwenye kilimo mama anaupiga mwingi,

Kwenye afya Mama anaupiga mwingi,

Kwenye Utawala wa Sheria mama anaupiga mwingi,

Kwenye Uchumi Mama anaupiga mwingi,

Kwenye diplomasia mama anaupiga mwingi,

Kimataifa mama anaupiga mwingi,

Yaani mama anaupiga, anaupiga anaupiga mwingi kwelikweli,


Endelea.....
Bravo! ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Back
Top Bottom