Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

Kusaidia vijana Taratibu za Passport zirahisishwe pia

Nigeria wanigeria walio nje kuchacharika 2021 walipeleka nchini kwao dola za marekani bilioni 14

Wachina Diaspora 2021 walipeleka pesa China dola bilioni 131

Wao nchi zao hu encourage sana watu wao kutoka nje ya Nigeria na China kusaka maisha
 
Kusaidia vijana Taratibu za Passport zirahisishwe pia

Nigeria wanigeria walio nje kuchacharika walipeleka nchini kwao dola za mmarekani bilioni 14

Wachina Diaspora 2021 walipeleka pesa China dola bilioni 131

Wao nchi zao hu encourage sana watu wao kutoka nje ya Nigeria na China kusaka maisha
Mkuu hujawahi kuniangusha 🙏🙏🙏
 
Hapana Mkuu,, hakuna ubaya wowote kwa kilichofanyika....

Nilichosema ni kwamba aliyeweka watu walipe Millioni Moja,, ndio leo aliyetoa na kubaki Elfu hamsini..

Nani wa kusifiwa hapo na ni nani wa kumchukia..???
Shukuru sana mkuu wangu
 
ccm imekuwa TCRA? mnatafuta kodi kwa fujo[emoji1787][emoji1787]
Ilani yao ndio inatekelezwa.... waliahidi kujenga mazingira rafiki na wezeshi kwa ustawi wa tehama ili iajiri watu wengi zaidi ndicho kilichotokea....sasa unawaondoleaje pongezi...ikiwa wameahidi na kutekeleza!!!
 
mkuu umemaliza kila kitu hapa 🙏🙏🙏
 
Ilani yao ndio inatekelezwa.... waliahidi kujenga mazingira rafiki na wezeshi kwa ustawi wa tehama ili iajiri watu wengi zaidi ndicho kilichotokea....sasa unawaondoleaje pongezi...ikiwa wameahidi na kutekeleza!!!
Kundi la vijana ndio wengi sana tehama ni sehemu mojawapo ya wao kutoka .
Kuomba leseni kurahisishwe zaidi mtu aombe online hata awe kijijini huko aombe alipie Tigo pesa,airtel money nk bila kunyanyuka kwenda ofisi yeyote
 
Nakuelewa zaidi mkuu wangu, Uko sahihi 100%
 
Hiyo hatua ni nzuri mno Serikali imefanya kupunguza gharama za leseni za online TV itafanya vijana wengi waanze kupiga kazi online kusaka pesa

Online business ni eneo linaloongoza kwa sasa duniani kwa kuzalisha mabilionea wakubwa duniani nafasi nyingi za juu

Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi. Mfano, waweza pata kazi ya kutafsiri website ya kampuni au mtu kwa Kiswahili au kutafsiri kitabu. Unafanya online malipo yanakuwa kwa njia ya PayPal hata kwenye simu yako ya mkononi, hata mwajiri au mnunuzi awe Ulaya au Marekani aweza kulipa

Pia, mtu waweza chora hata katuni, ramani za nyumba n.k ukauza online. Au, ukajitungia wimbo wako wa kienyeji binafsi nyumbani kwako bila hata kwenda studio, ukauweka kwa mfumo wa video au audio ukauuza online kwenye maduka kibao ya online.

Tatizo kwa Tanzania haijaruhusu kupokea pesa kwa njia ya PayPal ambapo mtu aki-click tu kununua bidhaa yako online , pesa yako inaingia chapchap kwenye PayPal account yako.

Kenya walisharuhusu; vijana wengi hushinda mitandaoni wakitengeneza pesa wakiuza bidhaa zao, viwe vichekesho, michezo ya kuigiza n.k ambavyo huviuza online. Wanaweka clip zao kwenye maduka ya online mtu ananunua anamlipa online kupitia Paypal.Sisi tunapiga kelele ohh vijana wanatumia simu na komputa kuangalia picha za ngono na movie tu tofauti na wakenya sasa tusipowasaidia kujua kuwa waweza fanya kitu na kupitia PayPal wakapata pesa wataendelea na matumizi mabaya

Kuna shughuli nyingi za ujasiliamali online. Kikwazo kwa nchi yetu ni upataji wa pesa wa kazi yako au mauzo yako online. Bado tuko enzi za mawe tukiamini minjia ya kizamani ya kupokea hela. Na hivyo kuifanya nchi yetu kuwa ni ya kulipa zaidi pesa za kigeni na si ya kupokea pesa za kigeni.

Serikali ikiruhusu upokeaji pesa kupitia PayPal itafanya vijana wengi waingie mitandaoni kutafuta pesa.

Biashara za online zaweza kufungua Watanzania wengi kupata pesa toka nje, sababu ni juhudi ya mtu binafs na ubunifu wake i tu auze nini. Waweza kujirekodi unarukaruka kama ngedere ukiimba hovyohovyo tu bila hata vyombo halafu ukaita wimbo Crazy Monkey Song ukauweka online na ukauza. Wapo watu wana pesa wanapenda vituko wananunua.

Sio vizuri Serikali kuwaza tu kupata mipesa ya kigeni kupitia korosho,pamba ,kahawa nk online business ni eneo moja kubwa sana la kuingiza pesa za kigeni

Taasisi za elimu nazo ziweke kwenye mitaala ujasiliamali wa online wasibakie tu kufundisha ujasiriamali wa kuzurura tu juani wa kimachinga waanze kufundisha practical online business kama somo linalojitegemea
Great 💪💪
 
Hapana Mkuu,, hakuna ubaya wowote kwa kilichofanyika....

Nilichosema ni kwamba aliyeweka watu walipe Millioni Moja,, ndio leo aliyetoa na kubaki Elfu hamsini..

Nani wa kusifiwa hapo na ni nani wa kumchukia..???
Ndio, Kazi iendelee,
 
Back
Top Bottom