Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

Sikujua bavicha kama mnaifuatilia ccm kiasi hiki
 
Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa.

 
Sikujua bavicha kama mnaifuatilia ccm kiasi hiki
Aisee hawa ni vichekesho!
Halafu huyo Katibu mpya Chongolo si mteule wa JPM pia?
Alikuwa mkuu wa wilaya kaletwa chamani!

Sasa hawa inakuwaje?
Hebu nifafanulie mkuu!
 
Aisee hawa nyumbu ni vichekesho!

Halafu huyo Katibu mpya Chongolo si mteule wa JPM pia?

Alikuwa mkuu wa wilaya kaletwa chamani!

Sasa hawa nyumbu inakuwaje?

Hebu nifafanulie mkuu!
Ila yatima hadi mnatia huruma bado mnaota labda kuna siku baba atarudi, mlijaa viburi sana mkiongozwa na chakubanga na bashiru, ila Mungu ni fundi sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aliwapiga chenga ya mwili. Mama ana akili kubwa. Habwabwaji hovyo kama yule jinamizi. Yeye ni mwendapole wa uhakika. Very strong woman. Our strongest President. Tanzania mpya. Vunjia mbali dikteta na masalia yake.
Unarudi lini CCM, mwenzio Nyalandu Kesha rejea!!
 
“Mimi na JPM ni kitu kimoja” hahaaaa.

View attachment 1769221
Na wameshawajulia namna nzuri ya kuwalaghai kwa mazingaombwe ya kisiasa ili mtulie.
Sasa hapo kwa mfano kipi cha tofauti kilichofanywa na Bi. Samia?
Maana mimi binafsi sioni tofauti yoyote ile kubwa!

Hao akina shaka na chongolo wote walikuwa wateule wa JPM— na sasa wamerudi tena.
Watu wale wale, mawaziri wale wale, chama kile kile, dola ile ile, mfumo ule ule!
Vipi kuimba mapambio ya wokovu?
 
Ila yatima hadi mnatia huruma bado mnamuota baba labda kuna siku atarudi, mlijaa viburi sana mkiongozwa na chakubanga na bashiru, ila Mungu ni fundi sana.
Eeeeeh.... kumbe unanijua?

Lakini sasa hata kama ni kweli, kwanini nyumbu wanamshangilia Samia?

Hilo ndilo swali ninalojiuliza?
 
Samia nafasi zote za juu anawapa ndugu zake wa zanzibar o waislam utasema anachagua viongozi wa madrasa o msikitini,tuna rais wa hovyo haijawahi kutokea toka uhuru.
 
Unarudi lini CCM, mwenzio Nyalandu Kesha rejea!!
Mimi niko nyumbani sijawahi kuhama. Sema upuuzi sikuendekeza kabisa. Na sitauendekeza. Kiongozi yoyote ambaye anaenda kinyume na uTanzania wetu sitamuunga mkono. Kiongozi mkumbatia mafisadi hawezi kuwa karibu nami. Hivyo toka awamu ya 4 ya wizi Iue mkubwa basi nilichafukwa nikawa naangalia tu. Hivyo kwa sasa nina amani kuwa mambo yatabadilika hasa kwa upande wa uhuru na amani. Mambo ya majizi Tanzania ni Mzizi mgumu sana unahitaji moto mkubwa wa coal.
 
Samia nafasi zote za juu anawapa ndugu zake wa zanzibar o waislam utasema anachagua viongozi wa madrasa o msikitini,tuna rais wa hovyo haijawahi kutokea toka uhuru.
Mimi naona anafanya balance Bara na visiwani. Mbona iko wazi hiyo? Katibu Bara, Mwenezi Visiwani. Kuna shida hapo? Akifanya uteuzi watendaji nako anajitahidi balance. Shida iko wapi? Tatizo Tanzania Bara ni kubwa hawezi kufikia kila mkoa au Wilaya. Na pia anaangalia mambo mengi katika uteuzi kama elimu na uzoefu na uchapakazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…