you so stu-pid and lazy. hii ni point nayo unaongea. sasa kuna tatizo gani kama anatatua matatizo ya wananchi. ndio maana wakenya wanasema tuna kila kitu lakin hatuwapiti kwa maendeleo, kwa akili kama yako hatuwezi fika.Polepole alifikia hatua ya kupigia simu hadharani usiku Watendaji wa Serikali kama vile yeye ndio Waziri Mkuu.
kivip, au wew ni kati ya watu uliedhulumu watu. haiwezekani watu wapate haki zao kupitia hiki kipindi alafu wew hutakiNdo imetoka hivyo, kwanza kilikua hakina faida yoyote zaidi ya kuchafua hali ya hewa
Baada ya hayo yote, Chadema itakuwa ime-achieve nini?Anacho fanya mama ni usafi wa ghala anatoa zagazaga zoote za jiwe na kuweka maahine mpya
HAIWEZEKANI kitu kama hicho, kwenye Watanzania walio hai hakuna Mtanzania mwenye roho ya chuki na ukatili kama MwendazakeCCM ni ileile toka enzi ya Baba wa Taifa! Wala usiumize sana kichwa chako,hata Mama nae muda ukifika mtaanza kuona hafai na mtatamani Jiwe arudi tena!!
Kumbe hilo taga lipo humu 🤣🤣🤣🤣Humphrey Polepole, vieite limefika kikomo, jifunze kuwa na adabu
Atakuwa anahutubia familia yake nyumbani 😊Sasa kile kipindi cha Channel ten itakuwaje?
Katika wote sitatamani jiwe arudi. Hilo jiwe lingewekwa tu aliko kimwili kwa sasa. Anyway Siasa TANZANIA zimekuwa haziaminiki na kutoeleweka. Muhimu pata ugali na familia yako, boresha maisha yako ya sasa na uzeeni. Sitakaa nimuamini mwanasiasa. Hivi unakumbuka tulivyoaminishwa Ufisadi umekwisha? REPORT ya CAG 2019/2020 ndiyo ilinipa hasira mno. Ulimi na jicho la mwanasiasa yoyote yule usiamini. Hata kicheko chake kiogope.CCM ni ileile toka enzi ya Baba wa Taifa! Wala usiumize sana kichwa chako,hata Mama nae muda ukifika mtaanza kuona hafai na mtatamani Jiwe arudi tena!!
Hakika hakuna marefu yasio na ncha.Humphrey Polepole, vieite limefika kikomo, jifunze kuwa na adabu
Sijawahi kukiangalia, nadhani kusuluhisha matatizo ya watu kuna viongozi wa kila ngazi wrnye jukumu hilo na sio kipindi cha kwenye TV, halafu mahalama ni chombo cha haki sio polepolekivip, au wew ni kati ya watu uliedhulumu watu. haiwezekani watu wapate haki zao kupitia hiki kipindi alafu wew hutaki
sawa ngosha .tumekusikia rudi nyumbani buzebazeba kachunge ng'ombe.Samia nafasi zote za juu anawapa ndugu zake wa zanzibar o waislam utasema anachagua viongozi wa madrasa o msikitini,tuna rais wa hovyo haijawahi kutokea toka uhuru.
Mh! chakula tena?Huyo jamaa ni mtu wa hovyo sana, na inavyosemekana alikua ni chakula cha wazee wa chama, kama UVCCM walio wengi
Historia yake si ndio umeambia alikuwa karibu wa CCM mkoa wa morogoro na akatumbuliwa kwa kula Rushwa,? What else, profile yake au?Historia yake ikoje?
Nyie ndio wale mazombi...kwani Samia na Magufuli unadhan hawakuwa wamoja...walikuwa wakishauriana kwa kila kitu jombaMama safisha mpaka chini ya kapeti. Vunjavunja vipuri vyote vya Udikteta. Tunakupenda saana
Aliwahi kuolewa kabisa huko Mombasa.Huyo jamaa ni mtu wa hovyo sana, na inavyosemekana alikua ni chakula cha wazee wa chama, kama UVCCM walio wengi
Lichama la hovyo hilo.