Mwendazake alimsimamisha kwa kashfa za rushwayuko vizuri huyo sina shida naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendazake alimsimamisha kwa kashfa za rushwayuko vizuri huyo sina shida naye
kivip, au wew ni kati ya watu uliedhulumu watu. haiwezekani watu wapate haki zao kupitia hiki kipindi alafu wew hutaki
Polepole hakuwa mtendaji wa serikali au hilo hujui.you so stu-pid and lazy. hii ni point nayo unaongea. sasa kuna tatizo gani kama anatatua matatizo ya wananchi. ndio maana wakenya wanasema tuna kila kitu lakin hatuwapiti kwa maendeleo, kwa akili kama yako hatuwezi fika.
Mama kusafisha safu yake ni achievement kwa Chadema au kwa taifa.Baada ya hayo yote, Chadema itakuwa ime-achieve nini?
Siasa Hatari Sana hawa watu ndiyo basi tenaTulisema kuwa huu ndiyo mwisho wa waramba miguu wa jiwe watu wakatubishia ona sasa kina Bashiru na Polepole wanatupiwa virago mchana kweupeeeeee
Ukitaka mataga wafurahi we waambie maza na marehemu dikiteta magufuli ni kitu kimoja
Anacho fanya mama ni usafi wa ghala anatoa zagazaga zoote za jiwe na kuweka maahine mpya
mbona kama mtoto sio rizikiShaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa.
=======
Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemteua Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.Shaka Hamdu Shaka ndiye Katibu Mwenezi na Itikadi wa Chama cha Mapinduzi CCM akichukua nafasi ya Humphrey Polepole aliye teuliwa kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Aliwahi kusimamishwa kazi na Mwenyekiti wake Rais Magufuli wakati huo akiwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa kosa la kula rushwa.
1} Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa
Hata mimi nilishaga sikiaSHOGA
Ml rushwa Kumbe?/CCM wallah ni ile ileShaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa.
=======
Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemteua Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.Shaka Hamdu Shaka ndiye Katibu Mwenezi na Itikadi wa Chama cha Mapinduzi CCM akichukua nafasi ya Humphrey Polepole aliye teuliwa kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Aliwahi kusimamishwa kazi na Mwenyekiti wake Rais Magufuli wakati huo akiwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa kosa la kula rushwa.
1} Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa
naskia kama wewe bossHuyo jamaa ni mtu wa hovyo sana, na inavyosemekana alikua ni chakula cha wazee wa chama, kama UVCCM walio wengi
mombasa au OMAN?Aliwahi kuolewa kabisa huko Mombasa.
Noma sana! sisi yetu ni kusema mtanikumbukaHuyu mla rushwa amekuwa katibu mwenezi tena?
Leo atayaota yale MA V80 na Hard body....!! Kwa Sasa yeye ni same as Viti maalumu.....!!Nafasi ya polepole hata angepewa afande sele sawa tu, cha msingi slow slow ametoka maana mdomo wake ulikua unahara
Ukatibu mkuu na uenezi ni post mbili tofaut hata kimajukumu... Tumpe muda mkuu, amini kuwa hatuwezi kujua kila kitu!Polepole ana shida zake nyingi tu, hafai kuendelea kubaki katika hiyo nafasi ila sio kwa kumleta Shaka... Hivi Shaka ana ushawishi gani huku bara ambapo ndio kwenye mtaji wa kura... Shaka akishawahi kuwa katibu mkuu wa uvccm nadhani je alitumia nafasi hiyo kufanya nn cha maana
Mkuu ile ndoa yake tata ya mombasa bado ipo au alipata mshua mwingine?Duh......kweli CCM inajengwa kwa upya!