Shaka: Rais Samia kuwalipa waliofukuzwa kwa vyeti feki ni ishara ya huruma, upole na upendo kwa Watanzania

Nchi haiendeswhi kwa huruma bali inaendeshwa kwa sheria.
 
Magu alikuwa na phd feki. Makonda hana hata cheti
Hawakuwa waajiriwa serikalini walikuwa wanasiasa

Sifa ya mwanasiasa ni awe na elimu ya darasa la saba hizo zingine mbwembwe tu .Awe na digriinhalali au Feki sio muhimu.Mradi amemaliza darasa la saba
Ila ajira Serikalini kuna viwango vya elimu.Usichanganye sifa za mwanasiasa na mwajiriwa
 
Walikuwa wanalipwa na nani
 
Pale nchi inapoongozwa kwa huruma za rais na sio matakwa ya wananchi
 
Hao wenye vyeti halisi mbona still tija ni sifuri
 
Ni ujinga tuuu, kumpa meizi mafao yake, badala ya mwizi kumdai pesa alizochukua km nshahara
 
Miaka yote mlipaji hakujua kama hao ni feki?
Mlipwaji hana makosa.
Mlipaji ndiye aliyetengeneza mazingira ya ufeki na ndiye anapaswa kufunguliwa mashitaka
 
Hivi huyu dogo ana akili kweli? Yaani mtu hana elimu yeyote na kiraza tu shuleni hata hiyo kazi serikalini alikuwa anafanya tu kwa kubahatisha, analipwa nini sasa badala ya kukamatwa na kuwekwa gerezani? Yaani CCM wanavuna laana ya kumuua Magufuli kwa kweli.
 
Kazi iendelee, Tuko vizuri,
 
Nyuki wa mama.!????

Hii kauli inamaana gani mkuu ndio naiona hapo leo...

Au ndio walamba asali... hebu nipe hint
 
Vipi Phd feki za wakubwa na vyeti vya akina Bashite?! Ungesoma tu mstari wangu wa mwisho ulitosha kila kitu.
 
Mimi nawashangaa mnaoshangilia na aliyetoa kauli.Muwe mnajirekebisha siyo mkuu atalipa bali ni serikali huyu mkuu hana hela ya kuwalipa hao.Muwe mnajirekebisha.
 
Muajiri wako akikuajiri kwa kuwa ulimdanganya, haikupi haki pale anapogundua umemdanganya akuache tu kazini kwa kuwa hakugundua utapeli wako wakati anakuajiri.
Ivi ulishawahi kufikilia ni watu wangapi waliostahili kupata izo nafasi walinyimwa haki zao wakiwa na vyeti Halali kabisa....Asa kma mtu aligushi cheti Cha uwalimu alikua anafundisha nin watoto shuleni...na huyu nae alipwe??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…