Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

Wewe jamaa una bichwa gumu sana I tell you. Hata picha huelewi?
Hakuna ndege iliovuka anga la Iran wala kutumia anga la Jordan, sehemu pekee ambapo wameweza kutumia ni Iraq
 
Hakuna ndege iliovuka anga la Iran wala kutumia anga la Jordan, sehemu pekee ambapo wameweza kutumia ni Iraq
Hata useme nini Hakuna taifa linaloweza kusimama mbele ya taifa la Israel
 
Mtazamo wangu hakuna ulinzi wa 100% lazima utapigwa tu , maumivu ya vita lazima uyapate ukiingia vitani vile vile na wale ambao wanao kutegemea lazima wapate maumivu
 
Mnafosi sana kutuaminisha ile safari ya juzi ya chizi Israeli kwenda kuzurura na kurudi na makopo nyumbani kwao...bahati nzuri siku hizi vita vipo wazi ni kama mpira wa miguu tu,tumeona uwehu alioufanya Israeli juzi kazi kubwa gharama kubwa faida kuduchu
 
Hizi ni story za kijiweni si kwa level yako.dini inakufanya uwe zombie
 
Miezi mitatu iliyopita Iran wali-update rada zote za S-300 pamoja battery za kujikinga na makombora na walijiamini Sana wakifikiri Rada zitafanya kazi..
Ebu fikiria ndege za Israel zilifanya operation zaidi ya masaa mawili kwenye ANGA la iran
Lazima ayatollah alijificha shimoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…