Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Niaje waungwana

Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa.
Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel kushindwa kupiga hata kituo kimoja cha polisi. Maandalizi yalikuwa makubwa mno lakini mashambulizi yalikuwa madogo mno. Ndege 100 ambazo hata hivyo hazikuingia ndani ya anga la Iran ni kama vile zilienda kuzurura tu kwa wenzao.

Gharama kubwa za maandalizi ya shambulizi, mafuta na propaganda halaf zinafika kwenye mpaka adui na kutoka bila kuacha hasara ni aibu na fedheha kubwa kwao.

Sasa baada ya kuona wameshindwa kufanya chochote cha maana. Kuna kundi la wayahudi wetu wa bonyokwa na wale wa tel aviv ya Tandale wamekuwa wakikusanya kusanya vipicha picha na video za vile vishambulio vya Gaza na kuviunganisha hapa kwenye tukio la leo ili kuwahadaa wajinga wenzao kuwa shambulio la Israel lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa kitu ambacho sio kweli.

Shambulio lao lilikuwa la hovyo sana ndomaana dunia haijui kinachoendelea huko Iran. Hii ni tofauti na mashambulio ya Iran ambayo huwa na uzito na kuifanya dunia karibia yote ikiiongozwa na nchi za magharibi kulaani shambulio la Iran nchini Israel. Siku zote mtemi mwenye nguvu akimpiga mnyonge, watu husema na kupiga kelele. Lakini mnyonge akijitutumua kumpiga mtemi watu huwa hawaoni wala kulalamika, maana hakuna madhara ambayo mwenye nguvu anaweza pata.

Tuombe Mungu Ayatollah asitoe kauli kuhusu kashambulio hako. Maana akitoa tu kauli, basi Netanyahu na genge lake watalazimika kuwakimbiza wanajeshi wao na familia zao shimoni mapema (handakini) kabla kiyama kingine hakijawakuta wakiwa juu ya ardhi wakitembea. Ayatollah huwa hatanii na kauli yake haibadilishwi na mtu yoyote hapa ulimwenguni.

Kwa aibu hii ya leo, kushindwa vita na hezbulah, ukijumlisha nyumba ya Netanyahu kushambuliwa huku THAAD na Iron Dome zikiiangalia. Netanyahu angekuwa mzalendo wa kweli angejiuzulu. Lakini kwa tamaa zake anataka mpaka afie uongozini. Yani hata hayati mzee Mwinyi amemshinda uadilifu.
We Mbwiga tuliza kibandiko!

Lengo la Israel linajulikana tangu mwanzo!! Lengo ilikuwa nikumuonesha Iran kwamba anaweza kuingia ndani ya Iran na kupiga popote.

IDF imetamba kwenye anga la Iran usiku kucha bila kudondoshwa ndege yake hata Moja!!

IDF imepiga vituo vya Kijeshi inavyotaka japo Iran unajifanya kusema wamekufa Wanajeshi 2 tu!! Hilo ndo lengo kuu la Israel.

Sasa akitaka kuuona moto wenyewe ajaribu retaliation
 
Walidhani wanaenda kushambulia somalia... Hii kwa kweli ni aibu sema bai wanavumilia
 
We Mbwiga tuliza kibandiko!

Lengo la Israel linajulikana tangu mwanzo!! Lengo ilikuwa nikumuonesha Iran kwamba anaweza kuingia ndani ya Iran na kupiga popote.

IDF imetamba kwenye anga la Iran usiku kucha bila kudondoshwa ndege yake hata Moja!!

IDF imepiga vituo vya Kijeshi inavyotaka japo Iran unajifanya kusema wamekufa Wanajeshi 2 tu!! Hilo ndo lengo kuu la Israel.

Sasa akitaka kuuona moto wenyewe ajaribu retaliation
Lakini mwanzo Is Israel walisema watapiga Nuclear Facilities. Imekuaje tena?.
 
Kabisa mkuu, Iran mpaka sasa hajatoa taarifa ya kichapo alichopokea usiku, alafu wairan weusi tayar taarifa wanazo, mbaya zaidi wanasifia AD za mrusi alizopeleka Iran na kushindwa
Kwani Israel ikishambuliaga kule Gaza na kufanya maangamizi (kuua watoto) si inakuaga ya kwanza kutupa taarifa na kuonesha operation zao zilivyofanya. Sasa iweje kwa Iran ndo wasibiri taarifa ya Iran ieleze.

Ukiona myahudi kakaa kimya katika shambulio lake ujue ameingia hasara kubwa kuliko faida.
 
We Mbwiga tuliza kibandiko!

Lengo la Israel linajulikana tangu mwanzo!! Lengo ilikuwa nikumuonesha Iran kwamba anaweza kuingia ndani ya Iran na kupiga popote.

IDF imetamba kwenye anga la Iran usiku kucha bila kudondoshwa ndege yake hata Moja!!

IDF imepiga vituo vya Kijeshi inavyotaka japo Iran unajifanya kusema wamekufa Wanajeshi 2 tu!! Hilo ndo lengo kuu la Israel.

Sasa akitaka kuuona moto wenyewe ajaribu retaliation
Weka ushahidi kuwa ndege za Israel zimetamba katika anga la Iran wewe mvaa nepi. Usifikiri kila alie hapa JF ni mvaa nepi mwenzako.

Sisi tunaandika facts. Lengo la Israel lilikuwa ni kulipiza kisasi kwa kupiga vinu vya nyukilia, visima vya mafuta kambi za jeshi nk, na hilo waliliongelea sana tu. Sasa hizo habari za sijui eti walitaka kumuonesha Iran umezitoa wapi? Au wewe ni mke wa Netanyahu ndomaana unajua habari zote zinazopangwa na mumeo?
 
Israel akishirikiana na Marekani, France Uingereza na washirika wake wameshirikiana kurusha ndege 100 kwaajili ya kuiangamiza Iran ila wamefanikiwa kutungua embe 1 tu lililokua juu ya mti.

Sasa Israel wasubiri comeback ya mwanaume waanze kusafisha mahandaki ya kujifichia maana Iran hana mbili kwenye 1 wala haongei sana ni vitendo tu
 
VITA Imegeuka,wanapigania IMANI sasa hivi.
Waache wachapane,wazodoane,wafanye chochote wanachotaka.
Dini na Imani ni ujinga tu,unaharibu reasoning capacity!
 
Binafsi nimeshangazwa na uwezo wa hizo air defenses aina ya bavar, baada ya muda tutasikia nchi nyingine zikihitaji hio mifumo...

Air defenses zao zilikuwa very effective...
Raisi Samia afanye mpango wa kununua air defence za Iran. Zina uwezo mkubwa wa kufanya kazi masaa 24 bila kuchoka.
 
kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa.
Naomba authority hii umeitoa wapi? acha kuunda maneno....JF is becoming a rubbish site if not checked for authenticity of news posted
 
Niaje waungwana

Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa.
Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel kushindwa kupiga hata kituo kimoja cha polisi. Maandalizi yalikuwa makubwa mno lakini mashambulizi yalikuwa madogo mno. Ndege 100 ambazo hata hivyo hazikuingia ndani ya anga la Iran ni kama vile zilienda kuzurura tu kwa wenzao.

Gharama kubwa za maandalizi ya shambulizi, mafuta na propaganda halaf zinafika kwenye mpaka adui na kutoka bila kuacha hasara ni aibu na fedheha kubwa kwao.

Sasa baada ya kuona wameshindwa kufanya chochote cha maana. Kuna kundi la wayahudi wetu wa bonyokwa na wale wa tel aviv ya Tandale wamekuwa wakikusanya kusanya vipicha picha na video za vile vishambulio vya Gaza na kuviunganisha hapa kwenye tukio la leo ili kuwahadaa wajinga wenzao kuwa shambulio la Israel lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa kitu ambacho sio kweli.

Shambulio lao lilikuwa la hovyo sana ndomaana dunia haijui kinachoendelea huko Iran. Hii ni tofauti na mashambulio ya Iran ambayo huwa na uzito na kuifanya dunia karibia yote ikiiongozwa na nchi za magharibi kulaani shambulio la Iran nchini Israel. Siku zote mtemi mwenye nguvu akimpiga mnyonge, watu husema na kupiga kelele. Lakini mnyonge akijitutumua kumpiga mtemi watu huwa hawaoni wala kulalamika, maana hakuna madhara ambayo mwenye nguvu anaweza pata.

Tuombe Mungu Ayatollah asitoe kauli kuhusu kashambulio hako. Maana akitoa tu kauli, basi Netanyahu na genge lake watalazimika kuwakimbiza wanajeshi wao na familia zao shimoni mapema (handakini) kabla kiyama kingine hakijawakuta wakiwa juu ya ardhi wakitembea. Ayatollah huwa hatanii na kauli yake haibadilishwi na mtu yoyote hapa ulimwenguni.

Kwa aibu hii ya leo, kushindwa vita na hezbulah, ukijumlisha nyumba ya Netanyahu kushambuliwa huku THAAD na Iron Dome zikiiangalia. Netanyahu angekuwa mzalendo wa kweli angejiuzulu. Lakini kwa tamaa zake anataka mpaka afie uongozini. Yani hata hayati mzee Mwinyi amemshinda uadilifu.
hao wazayuni watoto wadogo sana kwa iran,vijindege vyao vilikuwa kama vya gemu,vikombora vilimezwa huku watu wanakunywa alkasusu na tende...yaani itasikitisha sana kama hii battle itaenda face to face
 
Wameaibika sana, mpaka dunia inawaonea huruma. Yani ni kama vile leo hakuna kitu chochote kilichotokea huko mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom