Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Hili nalifahamu na ndio maana niliona itapendeza kama wakijikita katika kujijenga...
Nimefurahi leo wamerusha satellites mbili.
Waziri wao Kaenda kuzindua ujenzi wa makazi katika kisiwa cha Abu Musa ambacho UAE wanakitolea udenda.
Inshort Iran ili iheshimiwe na wachokozi lazima ifike ilipo fika North Korea.
Huko imeshaapita ndugu na ndio maana wwnajiamini hivyo ..
 
Back
Top Bottom