Ushauri wako ni mzuri. Lakini haimaanishi kuwa Israel wako vizuri zaidi ya Iran. Kila silaha unazoziona pale Israel, 95% zinatoka katika nchi zaidi ya 5. Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uholanzi nk. Pengine hata na majeshi yao yapo katika jeshi la Israel maana wote ni wazungu, so kujipenyeza na kujifanya waisrael ili wapambane tu na nchi 1 (Iran) ni rahisi.
Yani ni kama vile Iran yenyewe inapambana na nchi zaidi ya 6 na bado iko vizuri. Kama hizo nchi zingeiwekea vikwazo Israel kama walivyoiwekea Iran, au kuinyima msaada wa silaha na jeshi japo kwa miaka miwili tu. Saa hizi ndo mngeuona uhalisia wa ubovu wa Israel. Nina imani isingekuwa na uwezo wa kupambana hata na Congo. Ila kwa vile kila kitu kuanzia silaha, jeshi, bajeti, madawa nk vinatoka Ulaya na Marekani ndomaana mnawaona wanajitutumua kuwa wanaweza kumbe ni chapa nyau tu.