Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Jidanganye. Israel wakirudia tena ni kujichapia tu kwani Iran ulinzi ni hakuna tena.
Wenye ulinzi ndio hao wanaopigwa na vijana wa Houth kila siku nyumbani kwao 😂mpaka Netanyahu ameamua kuacha kulala nyumbani akihofia nyumba kufumuliwa tena na vijana wa Houth ambao hawana jeshi 😂😂
 
Wenye ulinzi ndio hao wanaopigwa na vijana wa Houth kila siku nyumbani kwao 😂mpaka Netanyahu ameamua kuacha kulala nyumbani akihofia nyumba kufumuliwa tena na vijana wa Houth ambao hawana jeshi 😂😂
Jikite kwenye hoja. Iran wamepigwa na hawana ulinzi wa anga ndio habari ya mjini.
 
Jikite kwenye hoja. Iran wamepigwa na hawana ulinzi wa anga ndio habari ya mjini.
Wewe ni mjinga sana.. Huu utumbo uliyoandika hapa ni hoja au kiroja!!

Iran iliishambulia Israel kutokea kwao Iran kilometres zaidi ya 2000. Njiani huko kulikuwa na vizuizi vya nchi zaidi ya 8 kujaribu kuzuia shambulio. Yani Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Saudi Arabia, Jordan, Iraq jumlisha na Israel yenyewe lakini bado tu vyuma vyenye nguvu vya Iran viliweza kupenya ngome zao zote zilizowekwa njiani na kwenda moja kwa moja kupiga target za jeshi huku Iron Dome na THAAD zikiwa hazina la kufanya, kisha wewe unaleta ujinga wako hapa jukwaani.

Nchi iliyowekewa vikwazo miaka zaidi ya 50, inatoa kichapo kila siku kwa nchi inayopewa silaha na wazungu alaf wewe unajifungia chooni kuandika ujinga usiokuwa na maana ukifikiri wenye akili tutakuangalia tu upotoshe.

Habari ya mjini wakati hakuna alie Like ulichokiandika!! Hauoni kwamba unajamba na kujinusa wewe mwenyewe!!
 
Israel anafuta uteja ili aonekane kajibu , wale wanaomuita Taifa la Mungu waendelee kupata matumaini ....Israel anamjua iran ndio maana hapigi hovyo kama Gaza .

Sasa hivi, Iran kashavutiwa waya na USA kwamba asimlipize Israel na pia atangaze kwamba kapata hasara ili ionekane iran imepigwa ...Propaganda inayotumika hapa ni kubwa ila ukweli israel hana uwezo maana Hezbollah wamemshinda .​
Kwa vipigo kama hivi kweli Magaidi wa Hezbollah watashinda?? Labda kushinda njaa!!
 
Attachments

  • 3246727897704689974.mp4
    2.8 MB
Binafsi nimeshangazwa na uwezo wa hizo air defenses aina ya bavar, baada ya muda tutasikia nchi nyingine zikihitaji hio mifumo...

Air defenses zao zilikuwa very effective...
Very effective ziliangusha ndege ngapi za Israel? Mambo kama haya mlikuwa mnawaramba miguu Hezbollah na kuwasifia sana lakini sasa hivi tunawaona wanachezea kichapo kila siku na uongozi wao wote wa juu sasa hivi nasikia walishapewa wale mabikira 72. Ni aibu kundi lilikuwa linasifiwa sasa hivi linachakazwa hivyo!!!
 
Attachments

  • -2563227688577071218.mp4
    13.5 MB
WAJANJA WENZAKE KINA NANI HAO!!

KWETU NI MABUMUNDA HAHAHAH
 
Iran watulie...
1-Waelekeze nguvu kuunda bomu la nyuklia

2-Wajenge jeshi Lao la Anga wanunue na wawekeze katika kuunda jet za kisasa (ikiwezekana wafanye reverse engineering kwa ndege watakazo zinunua) , marubani wao wapewe uzoefu wa combat angani.

3-Shirika Lao la ujasusi zianze kutumia mbinu kama za kagame, kwanza zimu eliminate yule Mfalme uchwara anae pigiwa chapuo na nchi za magharibi.

4-Awape siraha za kisasa proxies zake, yeye ajijenge aache hezbollah na wengine wamfanyie kazi chafu.

5-Atumie fursa ya BRICS vizuri kujenga connection mpya za kiuchumi, teknologia na kijeshi.
 
Sasa kama Iran haikupata madhara kama Wairan wa Buza mnavyodai, kwann imeenda kulialia kwenye Baraza la Usalama la UN kwa tukio hilo?!.
Hakuna madhara so ingepiga kimya, simpo mbona!.
Madhara YAPO, ila kwa Iran sahau kuona picha...media za Iran itayoripoti na kutoa picha za shambulio hilo imekula kwake!!.
 
Ushauri wako ni mzuri. Lakini haimaanishi kuwa Israel wako vizuri zaidi ya Iran. Kila silaha unazoziona pale Israel, 95% zinatoka katika nchi zaidi ya 5. Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uholanzi nk. Pengine hata na majeshi yao yapo katika jeshi la Israel maana wote ni wazungu, so kujipenyeza na kujifanya waisrael ili wapambane tu na nchi 1 (Iran) ni rahisi.

Yani ni kama vile Iran yenyewe inapambana na nchi zaidi ya 6 na bado iko vizuri. Kama hizo nchi zingeiwekea vikwazo Israel kama walivyoiwekea Iran, au kuinyima msaada wa silaha na jeshi japo kwa miaka miwili tu. Saa hizi ndo mngeuona uhalisia wa ubovu wa Israel. Nina imani isingekuwa na uwezo wa kupambana hata na Congo. Ila kwa vile kila kitu kuanzia silaha, jeshi, bajeti, madawa nk vinatoka Ulaya na Marekani ndomaana mnawaona wanajitutumua kuwa wanaweza kumbe ni chapa nyau tu.
 
Kwani Israel ilipoenda kulia lia kwenye baraza la UN baada ya kushushiwa kichapo na Iran wewe ilikuwa bado haujafika mjini, au ulikuwa bado haujanunuliwa sim?

Bora hata Iran imetuma kijana wake, lakini Israel alienda Netanyahu mwenyewe na mipicha picha yake kuonesha kilichofanywa na Iran nchini kwake na akaomba eti UN iendelee kuibana na kuiwekea vikwazo Iran. Wakati tayari Iran ina vikwazo vya zaidi ya miaka 60 na bado inatoa kipondo kwa Israel ambayo haina vikwazo na inapewa silaha za bure kila siku na mabwana zao Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uholanzi nk.

Muda mungine mnajichoresha na kuonekana ni wapya humu JF na wa mwisho mwisho kufika mjini. Kwa sababu kama ungekuwa sio mpya usingeleta habari za kushangaa Iran kwenda UN na wakati Netanyahu na Israel yao pia walikwenda.

Kwanza napoteza muda wangu na energy yangu kujibu upuuzi kama Huu.
 
Ushauri wako ni mzuri. Lakini haimaanishi kuwa Israel wako vizuri zaidi ya Iran. Kila silaha unazoziona pale Israel, 95% zinatoka katika nchi zaidi ya 5. Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uholanzi nk. Pengine hata na majeshi yao yapo katika jeshi la Israel maana wote ni wazungu, so kujipenyeza na kujifanya waisrael ili wapambane tu na nchi 1 (Iran) ni rahisi.

Yani ni kama vile Iran yenyewe inapambana na nchi zaidi ya 6 na bado iko vizuri. Kama hizo nchi zingeiwekea vikwazo Israel kama walivyoiwekea Iran, au kuinyima msaada wa silaha na jeshi japo kwa miaka miwili tu. Saa hizi ndo mngeuona uhalisia wa ubovu wa Israel. Nina imani isingekuwa na uwezo wa kupambana hata na Congo. Ila kwa vile kila kitu kuanzia silaha, jeshi, bajeti, madawa nk vinatoka Ulaya na Marekani ndomaana mnawaona wanajitutumua kuwa wanaweza kumbe ni chapa nyau tu.
Hili nalifahamu na ndio maana niliona itapendeza kama wakijikita katika kujijenga...
Nimefurahi leo wamerusha satellites mbili.
Waziri wao Kaenda kuzindua ujenzi wa makazi katika kisiwa cha Abu Musa ambacho UAE wanakitolea udenda.
Inshort Iran ili iheshimiwe na wachokozi lazima ifike ilipo fika North Korea.
 
Back
Top Bottom