Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

MKUU HAKUNA NDEGE ILOINGIA ANGA LA IRAN ZMEPGA ZIKIWA NJE YA MIPAKA YA IRANI, MUWE MNAFATILIA TAARIFA KUROPOKA ROPOKA KAMA MMEKUNYWA KONYAG
Jamaa hawajielewi yaani wao wanawaona Waisrael miungu watu,wao walivyopigwa tuliona live ila wao wanatulazimisha sana tuamini kwamba wameshambulia
 
Fuatilia kilichotokea, kulikuwa na waves 3 za kushambulia, kwanza ilikuwa ni kuharibu mfumo wa ulinzi wa anga, pili kushambulia vituo vya kutengeneza na kurusha missiles na drones na tatu ofisi nyeti ambayo moja wapo iliyoguswa ni jengo la IRGC
Endelea kupiga soga kwa wajinga. Wenye akili zetu hatulishwi matango pori kijinga jinga namna hiyo.
 
Ndege 100 maana yake kila moja ilikuwa na missiles zisizopungua 4, tulitegemea sasa hivi Tehran hapakaliki. Sasa hata video moja ya kuonyesha kichapo hakuna, maana yake Iran imevitungua hivyo vikombora vay ndege vingi sana.
HIzo ndege 100 mmezionea wapi wakati mnasema zilishindwa kuingia zikaishia Iraq?
 
We Mbwiga tuliza kibandiko!

Lengo la Israel linajulikana tangu mwanzo!! Lengo ilikuwa nikumuonesha Iran kwamba anaweza kuingia ndani ya Iran na kupiga popote.

IDF imetamba kwenye anga la Iran usiku kucha bila kudondoshwa ndege yake hata Moja!!

IDF imepiga vituo vya Kijeshi inavyotaka japo Iran unajifanya kusema wamekufa Wanajeshi 2 tu!! Hilo ndo lengo kuu la Israel.

Sasa akitaka kuuona moto wenyewe ajaribu retaliation
Na walisema wazi wanataka kuionyesha dunia uwezo walionao.
Sasa mwache Iran ajichanganye tena!
 
Yes..hiki ndio alichotaka Israel ķionekane, kaingia saa 8 usiku katamba ndani ya anga lake katoka saa 12 asubuhi hakuna umemfanya.
Daah bonge la aibu, yaan masaa 4 yote wanavinjari tu humo kama kwao vile
 
Kiufupi kaonyesha uwezo mkubwa alionao, yuko vitani na Hamas na Hezbolah na bado anakuja kukupiga wewe bila tatizo, je asingekuwa vitani ingekuwaje
Uwezo huo hadi asaidiwe na USA na UK!?
Hivi haujui kama hilo shambulio USA ndio wamesaidia !?
Hata uzuiaji makombora Israel ikishambuliwa hata ilivyoshambuliwa na Iran ni USA na UK ndio imesaidia.
Israel it can't stand itself without USA.
Hata intelijensia za kuua viongozi wa Hizbollah na Hamas ni usaidizi wa USA.
Au unadhani hatujui!?
 
Ndege 100 maana yake kila moja ilikuwa na missiles zisizopungua 4, tulitegemea sasa hivi Tehran hapakaliki. Sasa hata video moja ya kuonyesha kichapo hakuna, maana yake Iran imevitungua hivyo vikombora vay ndege vingi sana.
Kwahio Israel alikuwa anaenda kupiga kila kitu Iran? Kuna wanajeshi wanne wamekufa walijiua? Iran kapigwa kwenye kambi kadhaa na air defense system zimetandikwa ndio maana na wao wanajikosha 'MINIMAL DAMAGE' ndio imetokea. Na Israel pia hataki huu mgogoro uendelee ndio maana hawasemi kitu wanaacha Iran apate sifa. By the way Iran wanalalamikq nini UN?
 
Daah bonge la aibu, yaan masaa 4 yote wanavinjari tu humo kama kwao vile
Israel kamuonesha Iran kuwa ni weupe,wako uchi. Ndege 100 zinaingia na kutoka hata moja haijaangushwa halafu unasema una air defense system?
 
Uwezo huo hadi asaidiwe na USA na UK!?
Hivi haujui kama hilo shambulio USA ndio wamesaidia !?
Hata uzuiaji makombora Israel ikishambuliwa hata ilivyoshambuliwa na Iran ni USA na UK ndio imesaidia.
Israel it can't stand itself without USA.
Hata intelijensia za kuua viongozi wa Hizbollah na Hamas ni usaidizi wa USA.
Au unadhani hatujui!?
Hilo ni bogus mkuu. Inatakiwa uliache hivyo hivyo na ubogus wake.
 
Nadhani huijui vizuri Israel, by data of 2020, 2.4% of American are Jews sawa na 7.5milions, na 2024 ni mataifa mawili duniani yenye idadi kubwa ya Jews nayo ni United State and Israel hii inamaanisha Jews walio America ni zaidi ya walio Israel, USA sie mtengeneza mambo, fuatilia Operation OPERA, Operation Entebbe na Operation Orchard na nyinginezo ni MOSSAD waliozifanya na USA walipewa taarifa mwishoni, ukitaka kuiweza Israel ni MOSSAD wapeleke wrong data jeshini na sio USA.
 
Bado mnajaza akili za kudanganywa kichwani!?
Hapo CIA sio tu hao wayahudi wanafanya kazi kuna hadi jamii ya kichina(Japanese and Chinese),kuna hadi wahindi humo CIA.
Nenda kafuatilie shambulio la pagers nani aliliingilia kati kama sio CIA.
Nenda kafuatilie six days war 1967 nani aliisaidia Israel kiintelijensia kama sio USA.
Nenda kafuatilie tukio la kuua Hassan Nasrallah nani kahusika kiintelijensia kama sio USA.
 
Hilo ni bogus mkuu. Inatakiwa uliache hivyo hivyo na ubogus wake.
Nawashangaa sana hawa jamaa aisee.
Watakuja na kisingizio cha jews kuwa wengi USA sijui hao ndio deep state USA.
Ukiona USA inaisaidia Israel sijui jua hao ni jews bleeeh bleeeh bleeeh.
 
Nadhani huijui vizuri Israel, by data of 2020, 2.4% of American are Jews sawa na 7.5milions, na 2024 ni mataifa mawili duniani yenye idadi kubwa ya Jews nayo ni United State and Israel hii inamaanisha Jews walio America ni zaidi ya walio Israel, USA sie mtengeneza mambo, fuatilia Operation OPERA, Operation Entebbe na Operation Orchard na nyinginezo ni MOSSAD waliozifanya na USA walipewa taarifa mwishoni, ukitaka kuiweza Israel ni MOSSAD wapeleke wrong data jeshini na sio USA.
Umeandika upuuzi mtupu. Hakuna cha Jew wala Mossad. Hao wote ni wazungu waliojipenyeza pale mashariki ya kati ili kulinda masilahi ya wazungu wenzao wa US, UK, France, Germany nk.

Kuhusu uwezo jamaa ni weupe, kila kitu wanategemea kutoka Ulaya na Marekani, ndomaana juzi kati Macron wa Ufaransa alishauri Israel ipunguziwe msaada wa silaha kutokana na operations zake kulenga zaidi watoto na kina mama huko Gaza na Lebanon Netanyahu akakimbilia kwenye Media kulalamika. Hata Biden alipotishia kupunguza utumaji wa silaha Israel Netanyahu alikimbilia vilevile kwenye vyombo vya habari kulalamika kuwa wanataka kuachwa peke yao nk.

Wanashindwa hata na Iran iliyowekewa vikwazo vya kiuchumi na kijeshi kwa zaidi ya miaka 50 lakini hata siku moja hausikii imepokea msaada wa hela, au silaha kutoka popote.

Ndio kwanza wanatengeneza silaha zao na kuwapa Hezbulah, Houth bure. Na kama hiyo haitoshi, baada ya kuona nchi za magharibi zinaipa Ukraine silaha na yeye akawapa warusi drone za kuitwanga Ukraine bure hadi nchi za magharibi zinapiga kelele na kukimbilia kuiwekea vikwazo uchwara. Toka uzaliwe ushawahi kusikia Israel inamsaidia mtu silaha? Inachojulikana ni yenyewe ndio isaidiwe silaha na sio isadie wenzake.

Hata Ukraine tu hapo Israel imeshindwa kuisaidia hata bomu la kurusha kwa mkono.

Israel nchi ambayo haina vikwazo lakini ikiambiwa itapunguziwa msaada wa silaha kidogo tu Netanyahu anaanza kulia lia na kukimbilia kwenye vyombo vya habari kulalamika. Mwanaume gani analalamika lalamika. Wataendelea kutegemea misaada mpaka lini?
 
Niaje waungwana

Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa.
Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel kushindwa kupiga hata kituo kimoja cha polisi. Maandalizi yalikuwa makubwa mno lakini mashambulizi yalikuwa madogo mno. Ndege 100 ambazo hata hivyo hazikuingia ndani ya anga la Iran ni kama vile zilienda kuzurura tu kwa wenzao.

Gharama kubwa za maandalizi ya shambulizi, mafuta na propaganda halaf zinafika kwenye mpaka adui na kutoka bila kuacha hasara ni aibu na fedheha kubwa kwao.

Sasa baada ya kuona wameshindwa kufanya chochote cha maana. Kuna kundi la wayahudi wetu wa bonyokwa na wale wa tel aviv ya Tandale wamekuwa wakikusanya kusanya vipicha picha na video za vile vishambulio vya Gaza na kuviunganisha hapa kwenye tukio la leo ili kuwahadaa wajinga wenzao kuwa shambulio la Israel lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa kitu ambacho sio kweli.

Shambulio lao lilikuwa la hovyo sana ndomaana dunia haijui kinachoendelea huko Iran. Hii ni tofauti na mashambulio ya Iran ambayo huwa na uzito na kuifanya dunia karibia yote ikiiongozwa na nchi za magharibi kulaani shambulio la Iran nchini Israel. Siku zote mtemi mwenye nguvu akimpiga mnyonge, watu husema na kupiga kelele. Lakini mnyonge akijitutumua kumpiga mtemi watu huwa hawaoni wala kulalamika, maana hakuna madhara ambayo mwenye nguvu anaweza pata.

Tuombe Mungu Ayatollah asitoe kauli kuhusu kashambulio hako. Maana akitoa tu kauli, basi Netanyahu na genge lake watalazimika kuwakimbiza wanajeshi wao na familia zao shimoni mapema (handakini) kabla kiyama kingine hakijawakuta wakiwa juu ya ardhi wakitembea. Ayatollah huwa hatanii na kauli yake haibadilishwi na mtu yoyote hapa ulimwenguni.

Kwa aibu hii ya leo, kushindwa vita na hezbulah, ukijumlisha nyumba ya Netanyahu kushambuliwa huku THAAD na Iron Dome zikiiangalia. Netanyahu angekuwa mzalendo wa kweli angejiuzulu. Lakini kwa tamaa zake anataka mpaka afie uongozini. Yani hata hayati mzee Mwinyi amemshinda uadilifu.

Hao wanajeshi wanne walikufaje?.
 
Back
Top Bottom