Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Taifa yupi huyo , Mungu anasapot ushoga ? Mungu wenu labda .
Mungu hasupporty ushoga ila hawezi kulihukumu taifa zima kwa kosa la mtu mmoja. Akipatikana Mmoja tu anayeomba toba kwa ajili ya Taifa zima, Mungu anarehemu wote
 
Mungu hasupporty ushoga ila hawezi kulihukumu taifa zima kwa kosa la mtu mmoja. Akipatikana Mmoja tu anayeomba toba kwa ajili ya Taifa zima, Mungu anarehemu wote
Kwahiyo kina Netanyahu waendelee kupumuliwa mgongoni na wanaume wenzao kwa vile anaweza kutokea mtu mmoja akawaombea toba wakatusua?
 
Umeandika upuuzi mtupu. Hakuna cha Jew wala Mossad. Hao wote ni wazungu waliojipenyeza pale mashariki ya kati ili kulinda masilahi ya wazungu wenzao wa US, UK, France, Germany nk.

Kuhusu uwezo jamaa ni weupe, kila kitu wanategemea kutoka Ulaya na Marekani, ndomaana juzi kati Macron wa Ufaransa alishauri Israel ipunguziwe msaada wa silaha kutokana na operations zake kulenga zaidi watoto na kina mama huko Gaza na Lebanon Netanyahu akakimbilia kwenye Media kulalamika. Hata Biden alipotishia kupunguza utumaji wa silaha Israel Netanyahu alikimbilia vilevile kwenye vyombo vya habari kulalamika kuwa wanataka kuachwa peke yao nk.

Wanashindwa hata na Iran iliyowekewa vikwazo vya kiuchumi na kijeshi kwa zaidi ya miaka 50 lakini hata siku moja hausikii imepokea msaada wa hela, au silaha kutoka popote.

Ndio kwanza wanatengeneza silaha zao na kuwapa Hezbulah, Houth bure. Na kama hiyo haitoshi, baada ya kuona nchi za magharibi zinaipa Ukraine silaha na yeye akawapa warusi drone za kuitwanga Ukraine bure hadi nchi za magharibi zinapiga kelele na kukimbilia kuiwekea vikwazo uchwara. Toka uzaliwe ushawahi kusikia Israel inamsaidia mtu silaha? Inachojulikana ni yenyewe ndio isaidiwe silaha na sio isadie wenzake.

Hata Ukraine tu hapo Israel imeshindwa kuisaidia hata bomu la kurusha kwa mkono.

Israel nchi ambayo haina vikwazo lakini ikiambiwa itapunguziwa msaada wa silaha kidogo tu Netanyahu anaanza kulia lia na kukimbilia kwenye vyombo vya habari kulalamika. Mwanaume gani analalamika lalamika. Wataendelea kutegemea misaada mpaka lini?
Umeandika jazba zaidi kuliko uhalisia
 
Hiz habar honestly mimi kwasasa zimeshani kinai na kunichosha. Hazina tena upekee ni kama tu ule uzi wa urusi ma ukraine
 
Mjinga wewe,
Wameenda wanawake wa4 kuua infrastruce zote wamefanikisha.
Jeshi liko hapo mtaani ni kuambiwa tu attack wako kazini.
We umeshiba vitumbua huko u aropoka tu.
 
Kwahio Israel alikuwa anaenda kupiga kila kitu Iran? Kuna wanajeshi wanne wamekufa walijiua? Iran kapigwa kwenye kambi kadhaa na air defense system zimetandikwa ndio maana na wao wanajikosha 'MINIMAL DAMAGE' ndio imetokea. Na Israel pia hataki huu mgogoro uendelee ndio maana hawasemi kitu wanaacha Iran apate sifa. By the way Iran wanalalamikq nini UN?
Wazayuni wa jf hamna akili kama kulalamika UN israhell na Iran nani alianza kulalamika UN
 
Nadhani huijui vizuri Israel, by data of 2020, 2.4% of American are Jews sawa na 7.5milions, na 2024 ni mataifa mawili duniani yenye idadi kubwa ya Jews nayo ni United State and Israel hii inamaanisha Jews walio America ni zaidi ya walio Israel, USA sie mtengeneza mambo, fuatilia Operation OPERA, Operation Entebbe na Operation Orchard na nyinginezo ni MOSSAD waliozifanya na USA walipewa taarifa mwishoni, ukitaka kuiweza Israel ni MOSSAD wapeleke wrong data jeshini na sio USA.
Propaganda bado zimewaganda vichwani mulivyo wadogo wa kufikiria akomboe mateka wake kwanza waliopo hapo Ghaza achana na Entebbe
 
Propaganda bado zimewaganda vichwani mulivyo wadogo wa kufikiria akomboe mateka wake kwanza waliopo hapo Ghaza achana na Entebbe
Ukitaka kujua mambo sio mazuri sikiliza vizuri hotuba ya Khamenei na kisha rudi kwenye uhalisia acha hisia za udini na jazba
 
Umeandika jazba zaidi kuliko uhalisia
Siku zote umuonae ndie huwa sie, na umuonae sie huwa ndie. Hivyo unachoona wewe kuwa sio uhalisia basi ndio uhalisia, na ukionacho kuwa uhalisia basi ndio sio uhalisia. Kikubwa uwe na akili kubwa ya kuchambua ili uweze kutenganisha kati ya mchele, chuya na mawe.
 
Mjinga wewe,
Wameenda wanawake wa4 kuua infrastruce zote wamefanikisha.
Jeshi liko hapo mtaani ni kuambiwa tu attack wako kazini.
We umeshiba vitumbua huko u aropoka tu.
Drone 1 tu ya vijana wa houth imetoka Yemen hadi tel aviv zaid ya Kilmetre 1000 na kwenda kushambulia moja kwa moja katika nyumba ya Netanyahu huku mamia ya mitambo ya ulinzi wa anga la Israel kama vile Iron Dome, THAAd nk yakiwa pale bila kuiona ndege hiyo.

Alaf wewe mvaa nepi unajifanya kuwatetea watu ambao hata mitambo yao wenyewe waliotengeneza imeshindwa kuwatetea kuizuia drone isiingie kutekeleza shambulizi.
 
Ukitaka kujua mambo sio mazuri sikiliza vizuri hotuba ya Khamenei na kisha rudi kwenye uhalisia acha hisia za udini na jazba
Mwl Nyerere aliwahi kusema kwamba mpumbavu na mjinga yeyote akiishiwa hoja na mwenye akili basi mpumbavu huyo hukimbilia kujificha kwenye kichaka cha dini. Hivyo wewe ni mmoja wa wapumbavu ambao wakiishiwa hoja hukimbilia kujificha kwenye kichaka cha dini.

Nasema hivyo kwa sababu hakuna mtu alietaja habari za dini ila wewe umekimbilia kuzileta. Jibu hoja acha swala la kuingiza maswala ya dini, hayatokusaidia kwa lolote.
 
Niaje waungwana

Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa.
Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel kushindwa kupiga hata kituo kimoja cha polisi. Maandalizi yalikuwa makubwa mno lakini mashambulizi yalikuwa madogo mno. Ndege 100 ambazo hata hivyo hazikuingia ndani ya anga la Iran ni kama vile zilienda kuzurura tu kwa wenzao.

Gharama kubwa za maandalizi ya shambulizi, mafuta na propaganda halaf zinafika kwenye mpaka adui na kutoka bila kuacha hasara ni aibu na fedheha kubwa kwao.

Sasa baada ya kuona wameshindwa kufanya chochote cha maana. Kuna kundi la wayahudi wetu wa bonyokwa na wale wa tel aviv ya Tandale wamekuwa wakikusanya kusanya vipicha picha na video za vile vishambulio vya Gaza na kuviunganisha hapa kwenye tukio la leo ili kuwahadaa wajinga wenzao kuwa shambulio la Israel lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa kitu ambacho sio kweli.

Shambulio lao lilikuwa la hovyo sana ndomaana dunia haijui kinachoendelea huko Iran. Hii ni tofauti na mashambulio ya Iran ambayo huwa na uzito na kuifanya dunia karibia yote ikiiongozwa na nchi za magharibi kulaani shambulio la Iran nchini Israel. Siku zote mtemi mwenye nguvu akimpiga mnyonge, watu husema na kupiga kelele. Lakini mnyonge akijitutumua kumpiga mtemi watu huwa hawaoni wala kulalamika, maana hakuna madhara ambayo mwenye nguvu anaweza pata.

Tuombe Mungu Ayatollah asitoe kauli kuhusu kashambulio hako. Maana akitoa tu kauli, basi Netanyahu na genge lake watalazimika kuwakimbiza wanajeshi wao na familia zao shimoni mapema (handakini) kabla kiyama kingine hakijawakuta wakiwa juu ya ardhi wakitembea. Ayatollah huwa hatanii na kauli yake haibadilishwi na mtu yoyote hapa ulimwenguni.

Kwa aibu hii ya leo, kushindwa vita na hezbulah, ukijumlisha nyumba ya Netanyahu kushambuliwa huku THAAD na Iron Dome zikiiangalia. Netanyahu angekuwa mzalendo wa kweli angejiuzulu. Lakini kwa tamaa zake anataka mpaka afie uongozini. Yani hata hayati mzee Mwinyi amemshinda uadilifu.
Jidanganye. Israel wakirudia tena ni kujichapia tu kwani Iran ulinzi ni hakuna tena.
 
Back
Top Bottom