Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Je Dereva wa Lissu anaweza kuwarubuni Walinzi? wote
 
hii ni akili gani?mbona ni mambo ya kijinga kabisa,yaani unataka kutueleza kwamba,Lisu ni mjinga kiasi gani,yaani mbaya wake tena alietaka kumuua amfiche ili asichukuliwe hatua, mbona watu wengine mnajitoa akili
 
Hawa jamaa wakija pewa nchi watakua madikteta wabaya sana kuwahi kutokea duniani.Yani kwao ni mwiko kuwahoji.

Very poor argument, sikuitarajia toka kwako. Nani kagoma mtu kuhoji? Hapa ni jukwaa huru na kila mtu ana maoni yake. Unawekaje wote kwenye kundi moja kwamba hawataki kuhojiwa wakati sasa uzi uko page ya 13+? Ama mtiririko wa mada umekuvuruga kaka yangu mpaka umeona maoni machache tu? Mtani wangu usipate shida huu ni uhuru wa maoni, nenda piga supu urejee maana huu uzi utakuwepo tu mpaka kesho. Kajipange bado una nafasi ya kutosha mtani.
 
Naamini sasa nimekuelewa vizuri sana Bwana Paskali. Mwanzani nilisoma nikiwa kwy kiahaisi kwa kweli ulinivuruga....baada ya kukaa kitako na kurudi kusoma, hili ni jiwe gizani au kumwagia mafuta ya shimoni.

Nasubiria hakika tutaona kitu kama kipo, ntakusaidia kushika zamu ya kusubiria kama utataka kwenda break mara moja....hahahah!
 
Shuda mwingine ni CCTV camera za kwa mheshimiwa waziri.Zipo wapi?
 
Shuda mwingine ni CCTV camera za kwa mheshimiwa waziri.Zipo wapi?
 

Ww unahoja ya msingi kwenye huu utetezi wako. Je mleta mada anapoelezea shaka yake kwenye hilo tukio ana popote anapoonyesha shaka yake kwa askari wanaolinda eneo hilo kutokuwepo eneo la lindo? Je kuna popote kataja CCTV camera? Watu wanambana mleta hoja aeleze mashaka yake yote na sio kuchagua baadhi tu hata kama kweli aliyosema yana mantiki.
 
Kaka inaonyesha unajua mengi zaid ya tunayo yajua ila kikubwa tumia kalamu yako vzuri kesho utaulizwa
 
Ukishakuwa pro government unakuwa mjinga automatically .
Ndio huyo Britannica
 
....mungu yupi tena wakati mnadai Yesu ni mungu !? ...mungu alishindwa kuwakomboa mpaka afe mtu ! Watata sana nyie
 
Nadhani Pascal Mayalla hajapinga uhusika wa Wanaojulikana ila Wanajulikana Kama "wasiojulikana" ambao kimantiki katika andiko lake anaonyesha kwamba Kwa nguvu waliyonayo "Wasiojulikana" hawashindwi kumtumia "yeyote" katika mission zao za "wasiojulikana".


Binafsi Kwa maoni naungana nae pia nikiamini kwamba uhusiano mwema Kati ya Lissu na Dereva wake unaweza kuingia majaribu ikizingatiwa kuwa hawa wasiojulikana wanazo rasilimali nyingi za kushawishi.


NB: kusalimika kwake katika janga lile isiwe sababu ya kuhusishwa kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…