Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Pasco Mayala kama Dereva alihusika alishirikiana na nani Kwa nini CCTV Camera ziliondolewa Kwani askari wa zamu eneo la makazi ya Lissu na Naibu Spika walikuwa wapi Ni kina nani hawakuona wala Kuckia milio ya risasi walichukua hatua gani nani amekamatwa kati yao je wamekamatwa?

Ukijibu hayo Maswali utapata ukweli nani kahusika na jaribio la kumuua Lissu, je kwa nini serikali imegoma kuleta watalaamu wa nje kusaidiana kiupelelezi kama vyombo vyetu vya dola vimeshindwa?
 
Hata Mungu alijua kuwa Yesu atasulubiwa ili aliacha yatimie ili sisi tukombolewa.

Kupitia shambulio la Lissu,hata sisi tutakombolewa.


Kumbuka wangekuwa na nia wasingeshindwa kwenda kuwahoji hospitalI ya Nairobi.

Jiulize tu angekuwa ni kigogo wa serikali alieshambuliwa kama huyo dereva wasingemfuata kumuhoji hata kama angekuwa ni Ulaya.
Sijawahi kumuamini Pascal hata mara moja , ni mtu ninayemfahamu tangu enzi za kipindi cha KITIMOTO pale Simba Grill ni mtu mnafiki na ambaye njaa yake inaweza kusababisha akawala hata wanawe .

Ametumika mara nyingi sana .
 
Kabla ya kutoa hio dhana yako ningekuomba ujibu Masuala 3 tu:-
1. Kwa nini siku ya tukio hapakua na Mlinzi Bungeni
2. Jee kwanini Picha za Camera ulinzi hazijuilikani zilipo?
3. Kwa nini Serikali ikatae uchunguzi huru ukishirikisha vyombo vya Kimataifa?
Mkuu jibu maswali yake kwa
 
Mayala=njaa
Baada ya Jerry murro kuula pasco ameona fursa na wakt sahihi Wa kutafuta cheo,huyu ni tumbo linatoa hoja sio akili,umeangusha tasnia ya habari

Ndo tatizo Kubwa sana la BAVICHA au akili njaa. Kila siku mnasema kuna uimra. And sad to say, you are doing the same. His questions are logical, toka dar unafuatiliwa upo Tu.

Please BAVICHA sina chama But reasoning yenu huwa inanibore sana. Nakereka Kwa kuwa maisha yangu napenda yaongozwe na logic that’s why nilimpendaga sana dr Slaa. Hitimisho lake sijaafikiana naye kuwa tunahitaji wa Chunguza Wa nje kwenye nchi huru. Lakini ni hoja yake sipaswi kumdharau.

Wake up and be reasonable and consistent in your way of living and thinking. Only the spoon knows the pot’s sorrows and every bed has lice.
 
Angekuwa hausiki angekwenda kuhojiwa, madawa aliyopewa Lissu kusinzia ili afanyiwe hayo, risasi zinapiga kushoto anaumia kulia, kiti cha lissu kinalazwa alale dereva hapati hata jeraha,

Camera zinatolewa kwa uchunguzi watu wanadhani ni serikali imezitoa kuficha ukweli,

Suala la Lissu Mbowe anahusika sana sema hamuelewi n.a. Lissu ni mjanja mno anawasiliana na Magufuli ili akipona ndo amwage cheche, mpaka sasa Mbowe hajatulia anatapa tapa kupoteza ushahid wote , lakin Sami ya Mtu ni nzito sana haimwagiki tu,

Leo hii waliopaswa kulipwa ujira wa kazi hiyo wananyongwa tu kupoteza ushahidi, kuna mengi watu wanajua ila wanaogopaga tu kutoa ushahidi,

Britannica
 
CC P et al:
Naanza na hilo angalizo lako ambalo ni kama umetumia kutahadharisha ili achague bega la kumbeba yaani uanaharakati na au kunyamaza! Kwa hili hapana na usimvunje moyo kwani malengo na matazamio pamoja na maazimio yake aliyojiwekea hajayafikia na au kuyamaliza kabisa. Mwache na mtie moyo kama ule tuliokuitia wewe kipindi kile cha wito wa watunga sheria juzi kati japo hujafunguka juu ya yaliyokusibu!

Kuhusu kukimbilia nyumbani, alipaamini na anafahamika zaidi eneo lile na kulikuwa na walinzi anaowafahamu japo siku hiyo walipewa off!

Kutokuonekana kwa dereva wake ni suala la kawaida tu na manufaa yake utayasikia kwani atatoa ushuhuda usionajisiwa na wauaji wale!

Sidhani kama hili wazo lako linaweza kumbadilisha Lissu kirahisi na kuacha kumwamini dereva wake! By the way, zile cctv zilizonyofolewa ziliwekwa stoo gani vile?
 
Mayala=njaa
Baada ya Jerry murro kuula pasco ameona fursa na wakt sahihi Wa kutafuta cheo,huyu ni tumbo linatoa hoja sio akili,umeangusha tasnia ya habari
Kweli nimemuandikia nimemuuliza Maswali akijibu hayo Atajua waliojaribu kumuua Lissu Akae anajua anatutia hasira wengine tulilia Kwa uchungu baada ya taarifa za jaribio la mauwaji ya Lissu pasco usituletee njaa zako na suala la Lissu achana nalo kabisa deal na habari za ziara tu hili liache kabisa
 
Kama wasiojulikana wangekuwa na mpango moja na dereva wa Lissu .......... naamini kabisa na wote tunajua kuwa Lissu siyo mjinga kiasi hicho mpaka aendelee kuishi naye!!? Kwa vile walikuwa pamoja ni lazima kungekuwa na circumstantial evidence za yeye kushiriki au kumuingiza mtegoni which Lissu could have had noticed then or at least later! Imagine risasi zaidi ya 30 zinarushwa from a distance hivi kweli kulikuwa na guarantee gani kuwa dereva angesurvive kwenye huo mpango!!?

Kitendo cha kukaa kimya, kukataa kumsaidia mgonjwa ambaye hakuhusika na maamuzi ya wapi akatibiwe na wana CCM kutokwenda kumuona Nairobi, na kufunga file lake kufungwa bila uchunguzi au kuhoji witnesses ..... tayari unapata majibu ...............!!
 
Kamanda mambo ya demokrasia ni magumu sana huwa nawambia kuiongea mdomoni ni jambo moja kuhimiri na kuishi demokrasia ni jambo lingine cheki unavyo shindwa kuhimiri vishindo kamanda
Mtu mwenye akili unasoma conclusion kujua mwandishi amelenga nini katika hoja yake.

Shule ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom