Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Uchawi kama huu wa Pascal hauwezi kuwa uhuru wa kutoa maoni , kuanzia muda huu naanza kumhusisha na shambulizi la Tundu Lissu , anazo sifa zote za kuhusika , Hakika damu ya Lissu itaumbua wengi sana .
Kamanda pole sana nikwambia kila leo demokrasia mnayo ililia humu kila leo ndio hii anayotimiza pascal mvumilie sasa....kumuhusisha na shambulizi la Lisu ni kujifariji lakini ukweli ni kwamba huwa mnaongea na kuandika tuu wala demokrasia hamuijui? Hahahahaha demokrasia ni kukosa na kupokea....
 
Angekuwa hausiki angekwenda kuhojiwa, madawa aliyopewa Lissu kusinzia ili afanyiwe hayo, risasi zinapiga kushoto anaumia kulia, kiti cha lissu kinalazwa alale dereva hapati hata jeraha,

Camera zinatolewa kwa uchunguzi watu wanadhani ni serikali imezitoa kuficha ukweli,

Suala la Lissu Mbowe anahusika sana sema hamuelewi n.a. Lissu ni mjanja mno anawasiliana na Magufuli ili akipona ndo amwage cheche, mpaka sasa Mbowe hajatulia anatapa tapa kupoteza ushahid wote , lakin Sami ya Mtu ni nzito sana haimwagiki tu,

Leo hii waliopaswa kulipwa ujira wa kazi hiyo wananyongwa tu kupoteza ushahidi, kuna mengi watu wanajua ila wanaogopaga tu kutoa ushahidi,

Britannica
Acha nikukubalie kuwa, Mbowe ni mkubwa kuliko idara zote za ulinzi na usalama! Untouchable na yeye ndiye sheria!

Yaani kwa ujinga wako huu, mkulu atuhumiwe kuhusika ajkalie kimya huku akimwona mhusika akitembea na kula raha kitaa!

Kweli kabisa serikali yote inamgwaya Mbowe! Utakuwa siyo wewe wa kombe la dunia wamehack account yako!
 
katika vitu unaangusha hii tasnia yetu ya habari nimoja yamabandiko yakulambana miguu kama hili
Paskali paskali paskali, unataka kuniudhi.Nimekukosea nini paskali.
Mayala=njaa
Baada ya Jerry murro kuula pasco ameona fursa na wakt sahihi Wa kutafuta cheo,huyu ni tumbo linatoa hoja sio akili,umeangusha tasnia ya habari
Tangu ulipohojiwa na bunge umepoteza sifa ya kuwa mwandishi mchunguzi! Ugolo kama huu unakuabisha!!
Maswali ya hovyo kabisa!
Paskali umekua na fikra zisizoendana na historia yako, hovyo kabisa. Bado unajiuliza kuhisiano na hill hujui nn?
Tatizo lenu mmeandaa masikio yenu kusikia mile mbogo zenu zinaamini,mkisikia tofauti in ugonvi tena mkubwa.
 
Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
1. Mkuu una uhakika na hoja yako hii...!?
2. Unaweza kuudhibitishia umma wa watanzania na ulimwengu kuwa hakuna uchunguzi unaondelea juu ya tukio hili?
3. Je. uzoefu wako wa masuala ya kiuchunguzi kama mwandishi wa habari, una uhakika kabisa kabisa kuwa tukio hili haliwezi kuchungunzwa kwa usahihi na vyombo vyetu mahiri vya uchunguzi na usalama vya nchi yetu kiasi tulazimike kuhatarisha usalama wetu kwa kuingiza wachunguzi 'mamluki' kutoka vyombo vya nchi ambazo zinaweza kuwa hazitutakii mema?
----
Natanguliza shukrani kwa majibu yako murua ya maswali yangu. Karibu.
 
Acha nikukubalie kuwa, Mbowe ni mkubwa kuliko idara zote za ulinzi na usalama! Untouchable na yeye ndiye sheria!
Yaani kwa ujinga wako huu, mkulu atuhumiwe kuhusika ajkalie kimya huku akimwona mhusika akitembea na kula raha kitaa! Kweli kabisa serikali yote inamgwaya Mbowe! Utakuwa siyo wewe wa kombe la dunia wamehack account yako!
Subiri 2020,,,yote yatajukikana
 
Back
Top Bottom