Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana Pasco Mayalla.Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.
Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.
Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka, halafu what happened?!.
Baadhi ya maswali ni haya...
Hitimisho.
- Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
- The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
- Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
- Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
- Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
- Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
- Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
- Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
- Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
- Maswali yataendelea
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.
Pole.
P.
Huna hoja ya msingiHili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,

Huyu mwenzetu siku hizi kaamua kuvaa unafiki wa hali ya juu kwelikwelikatika vitu unaangusha hii tasnia yetu ya habari nimoja yamabandiko yakulambana miguu kama hili
Leo umekurupuka na umechemka mkuu Pascal Mayalla , umeuliza maswali ambayo Lissu anayahoji...na sasa kwa andiko lako hili uchwara:Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.
Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.
Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka, halafu what happened?!.
Baadhi ya maswali ni haya...
Hitimisho.
- Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
- The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
- Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
- Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
- Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
- Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
- Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
- Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
- Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
- Maswali yataendelea
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.
Pole.
P.
Kamanda kwahiyo anajidhalikisha kwakuwa kaongea ambayo hupendi kuyasikia?Siku hizi unajidhalilisha sana mkuu!
Sikufichi kakaangu umekuwa kama umefungwa motor
Ewe mtanzania mwenzangu jitahidi sana usije kudhubutu kutafuta chakula cha watoto wako kwa njia haramu namna hii!
Inaudhi, inakera na kukiacha kizazi chako na laana
Kwahiyo dereva wa Lisu anaweza kuwa na nguvu na ushawishi wa kuandaa mazingira ya namna ile hadi kuwaondoa walinzi wa serikali eneo lile?
CCTV camera pia akaziondoa na mwisho kabisa akaishawishi serikali na bunge kwa ujumla wasihusike na matibabu yake?
Nanukuu: "Wakati nalima nikikutana na nyoka namgonga kichwa. Akifa shauri yake na akipona shauri yake"
Hiyo ni kwenye ziara ya baba yetu kwenye mkoa fulani [emoji24] [emoji24]
Akijibu hili unitageKabla ya kutoa hio dhana yako ningekuomba ujibu Masuala 3 tu:-
1. Kwa nini siku ya tukio hapakua na Mlinzi Bungeni
2. Jee kwanini Picha za Camera ulinzi hazijuilikani zilipo?
3. Kwa nini Serikali ikatae uchunguzi huru ukishirikisha vyombo vya Kimataifa?
Namba Tisa imefanya nikudharau,Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.
Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.
Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka, halafu what happened?!.
Baadhi ya maswali ni haya...
Hitimisho.
- Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
- The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
- Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
- Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
- Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
- Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
- Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
- Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
- Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
- Maswali yataendelea
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.
Pole.
P.
Sidhani kama serikali yetu ina mpango wa kumjua mfyatuaji wa risasi kwa lissu kwani mpango ungekuwa ni huo evidence zipo nyingi bila hata kumhoji Lissu na dereva wake.Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.
Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.
Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka, halafu what happened?!.
Baadhi ya maswali ni haya...
Hitimisho.
- Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
- The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
- Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
- Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
- Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
- Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
- Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
- Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
- Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
- Maswali yataendelea
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.
Pole.
P.
DefinetlyHii umefeli sana mkuu .
Huyo Pascal si ndio wale wale hayo maswali polisi ndio wanapaswa kuuliza na walikwishaulizaAkijibu hili unitage
Nashauri jamaa atafute jina bandia la humu ili awe na Uhuru wa kutoficha hisia zakekatika vitu unaangusha hii tasnia yetu ya habari nimoja yamabandiko yakulambana miguu kama hili
Mhh huyu paskal kabadilika sana, hakuwa mlamba funza miguu ya madikteta sasa mhhhhMakamanda mmeshindwa kuhimiri vishindo vya uhuru wa kutoa maoni? Hahaha
Yeah! Haya nayo ni maoni tu yenye lengo la kuchangamsha fikra za wasomaji kuhusiana na shambulio dhidi ya TAML; Ni hoja nzuri tu. Hata hivyo, kama lengo ni kuuaminisha umma dereva wake anahusika au aweza kuwa mmoja was "wasiojulikana", basi tuwaachie tu wasomaji wenyewe waamue na tayari tumesoma na kuona wanasemaje!Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.
Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.
Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka, halafu what happened?!.
Baadhi ya maswali ni haya...
Hitimisho.
- Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
- The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
- Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
- Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
- Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
- Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
- Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
- Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
- Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
- Maswali yataendelea
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.
Pole.
P.
Hata Mungu alijua kuwa Yesu atasulubiwa ili aliacha yatimie ili sisi tukombolewa.
Kupitia shambulio la Lissu,hata sisi tutakombolewa(sometimes Mungu huruhusu mambo fulani yatokee kwa malengo maaalumu).
Kumbuka wangekuwa na nia wasingeshindwa kwenda kuwahoji hospitalI ya Nairobi.
Jiulize tu angekuwa ni kigogo wa serikali alieshambuliwa kama huyo dereva wasingemfuata kumuhoji hata kama angekuwa ni Ulaya.
Kwahiyo Lisu anajua Dereva kahusika na bado anamsitiri?Hii ndio maana yako?Dereva hakuumia kwanini walimkimbiza Nairobi, Serekali haiendi nchi nyingine kiholela, Dreva kapelkwa Ubelgiji , yote hiyo mko sawa tuu? Mtasema anamsaidia lissu, hiyo ni kazi ya Hospitali, Nairobi Hospital is one of the best in EAst Africa, ninaojua vizuri sana, kuna wagonjwa kweye coma NA wanahudumiwa NA Nurses .
Wana Chadema hampendi kuulizwa maswali , mnapenda watu wale YES man kwenu ama kwa jambo lenu lolote.
Pascal ameuliza very valid questions NA yanahitaji majibu yeye busara, NA LISSU AKISHINDWA KUYAJIBU HAYA VIZURI NA BILA JAZBA ZAKE, BASI ATAKUWA GUILTYBIN CONSIPARANCY NA WALE WALIOMTEDEA MABAYA, kwani anazui ukweli usitoke NA kuitumia hali yake kisiasa.
Which is very cheap and crocked politics