Vizur sana,nini majibu yako ktk post ya Mayala?Unajua kwanini nimekupa ushindi, nimegundua umeishiwa na hoja sasa unalazimisha tuingie kwenye ubishani. Nimekuambia bayana sio dereva tu kwenye ushahidi, bali hata Lissu anapaswa kuwa shahidi kwani yuko hai na kwenye shambulio alikuwepo. Sasa naona akili imehama umekuwa kama umekariri kwamba kila anayezungumzia hili jambo akiwa upande wa Lissu anagoma dereva kuhojiwa.
Si lisu aliwaambia police wa Tanzania hawawezi kumhoji huko Kenya?Au mmesahau?..dereva hajafichwa.
..alikuwepo Nairobi kwa miezi 3+ hakuna aliyejisumbua kwenda kumhoji.
..sasa hivi yuko Ubelgiji na hakuna aliyeonyesha nia ya kutafuta namna ya kumhoji.
Naye alipigwa risasi 38 na Dereva wake alijificha chini ya uvungu wa gari?Umeelezea upande unaokufurahisha, lakini issue ya kutoka kwenye attempt ya kuuawa hasa kwa silaha inawezekana, Lissu siyo mtu wa kwanza, alishambuliwa Pope John Paul wa II tena akiwa ameangaliana na muwaji lakini akufa, sembuse lissu aliyekuwa kwenye gari? Ni Mungu tu ndiye anayepanga ufe au upone.
Si lisu aliwaambia police wa Tanzania hawawezi kumhoji huko Kenya?Au mmesahau?
Nonsense.Naye alipigwa risasi 38 na Dereva wake alijificha chini ya uvungu wa gari?
Si lisu aliwaambia police wa Tanzania hawawezi kumhoji huko Kenya?Au mmesahau?
Vizur sana,nini majibu yako ktk post ya Mayala?
Kwani aliyetakiwa kueleza utaratibu umekiukwa ni Serikali ya Kenya kupitia ubalozi wetu au lisu mwenyewe?Huku juu nimeeleza jinsi gani ujuaji wake unavyotia shaka ktk kupata haki yake.Sikuona umuhim wa lisu kuanza kutoa maelekezo kwa serikali nini wafanye coz hata serikali isingeweza enda kumhoji bila baraka za serikali ya Kenya.Ni maajabu sana mgonjwa kuwa mjuaji kuliko wanaotaka kumtibu kiasi kupanga dozi ipi apewe kwa utaratibu upi na vipi achomwe sindano..aliwaelekeza UTARATIBU wa kufuata ili kupata USHAHIDI wake.
..utaratibu huo umebainishwa ktk sheria iliyotungwa na BUNGE letu.
..hivi ingekuwa ni Mbunge wa CCM ameshambuliwa serekali angetenda hivi inavyotenda kwa Mh.Lissu?
Kwa akili yako unafikiri polisi Tz wangeenda moja kwa moja hospital kumhoji lisu bila taratibu zozote za kidiplomacy kufuatwa?Yani lisu ndiye anajua taratibu kuliko maafisa wote wa Tanzania na huko Kenya?Sikuona serikal ya Kenya ikitoa maelekezo yyt kuhusu yy.Mimi sipo Tz lkn naamini serikali ya Tanzania haiwezi kuja kunikamata hapa bila taratibu zozote za kidimplomacy kufanyika,ni kitu simple na kinaeleweka.Mwambieni huyo jamaa yenu apunguze ujuaji...huo siyo uamuzi wa Tundu Lissu.
..alichosema ndivyo sheria inavyoelekeza.
..lengo la kumhoji ni kupata MAELEZO / USHAHIDI wake.
..Je, Polisi waliwahi kujaribu kufuata huo utaratibu kama ulivyoelekezwa na sheria zetu halafu Mh.Tundu Lissu akakataa kuwapa ushirikiano?
..Mimi naona kunatafutwa kila aina ya "VIJISABABU" ilimradi tu Polisi wasifanye uchunguzi.
..@MISULI, hebu jiweke ktk nafasi ya Mh.Lissu. How would you feel kutendewa namna ile?
..How would you feel watu wangekuzushia uongo kama wewe unavyofanya hapa JF.
..Nakusihi ndugu kuwa na UTU ktk jambo hili.
Nafikiri hata wale uliopewa uwasaidie kufikiri wataanza kuelewa kuwa we lazima umehusika kwa namna moja au nyingine ktk risasi 38. Tunaofikiri bila msaada wa low iq kichaa jiwe na genge lake tunaelewa hizi comments zako ni sehemu ya kazi upate ridhiki na watoto wale, so hakuna lawama endelea pambanaKwani aliyetakiwa kueleza utaratibu umekiukwa ni Serikali ya Kenya kupitia ubalozi wetu au lisu mwenyewe?Huku juu nimeeleza jinsi gani ujuaji wake unavyotia shaka ktk kupata haki yake.Sikuona umuhim wa lisu kuanza kutoa maelekezo kwa serikali nini wafanye coz hata serikali isingeweza enda kumhoji bila baraka za serikali ya Kenya.Ni maajabu sana mgonjwa kuwa mjuaji kuliko wanaotaka kumtibu kiasi kupanga dozi ipi apewe kwa utaratibu upi na vipi achomwe sindano
Ndio shida yenu.Yani kila anayewakosoa ni anataka uteuzi.So unataka kusema wote tuimbe wimbo mmoja?Nafikiri hata wale uliopewa uwasaidie kufikiri wataanza kuelewa kuwa we lazima umehusika kwa namna moja au nyingine ktk risasi 38. Tunaofikiri bila msaada wa low iq kichaa jiwe na genge lake tunaelewa hizi comments zako ni sehemu ya kazi upate ridhiki na watoto wale, so hakuna lawama endelea pambana