MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Vizur sana,nini majibu yako ktk post ya Mayala?Unajua kwanini nimekupa ushindi, nimegundua umeishiwa na hoja sasa unalazimisha tuingie kwenye ubishani. Nimekuambia bayana sio dereva tu kwenye ushahidi, bali hata Lissu anapaswa kuwa shahidi kwani yuko hai na kwenye shambulio alikuwepo. Sasa naona akili imehama umekuwa kama umekariri kwamba kila anayezungumzia hili jambo akiwa upande wa Lissu anagoma dereva kuhojiwa.