Shangwe zilizopigwa Israel ilipovamiwa siku ya kwanza zipo wapi, Mbona nguvu kubwa inatumika kumpigia magoti Isreal aache kujilinda (cease fire) ?

kwan trh 7/10 walioshabikia walikuwa hamas tu ? kipigo kinaendelea mpk akil iwakae
 
Itakuwa mfayagia Kanisa wewe. Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto. Lkn marekani na Israel baada kupigana na hamas anapigana na watoto wa changa. Hivi vita ni vya kidini dhidi ya waislam duniani
hv una akili timamu , unalipa kisas kwa kuua raia wema ? ndo ukomboz wenyew huo?
 
Huna lolote unaongozwa na mapenzi yako kwa Israel The real situation in the battlefield ni tofauti. Wabongo wengi hamjui vita ni nini mnaongozwa na ushabiki tu.
ww unaejuwa vita utuambie jamaa kakosea wap mpk ukamjib hivyo
 
Israel ni taifa la kigaidi,kibaraka wa Marekani na Uingereza
Hawana nguvu hiyo mnayowasifia,ni vile wanapigana na raia wasio na silaha.
Mungu wa Israel hii hawezi kuwa mungu tunayemuabudu
ss mbona hamas wenye nguv hawashind vita kama wanaopigwa ni watoto
 
Hamas
ss mbona hamas wenye nguv hawashind vita kama wanaopigwa ni watot
Hamas ni raia wasio na silaha,Israel na mumewe Marekani wanaonea wanyonge,waende Ukraine wakamtoe Russia kama wao ni wanaume.
Israel ni magaidi na wauaji wanaonsingizia Mungu.
ss mbona hamas wenye nguv hawashind vita kama wanaopigwa ni watoto
 
Wale waliokili kiuwa kwenye tamasha hawahuwa Hamas kumbe?
Kwani wakiwa Hamas inakuwa ndiyo sababu ya kuvamiwa na Marekani na mashost zake
Kama Israel na mume wake Marekani ni wanaume wakanyage Ukraine
Siyo kupambana na wanamgambo wenye magobole
 
Itakuwa mfayagia Kanisa wewe. Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto. Lkn marekani na Israel baada kupigana na hamas anapigana na watoto wa changa. Hivi vita ni vya kidini dhidi ya waislam duniani
Sasa kama ulikuja kwa kuonekana sasa hivi unatumia watu kama ngao umejificha uonekani unataka nifanye nini ?? Je nicheze na dada yako au nikufumue Linda nipotee?
 
Kwani wakiwa Hamas inakuwa ndiyo sababu ya kuvamiwa na Marekani na mashost zake
Kama Israel na mume wake Marekani ni wanaume wakanyage Ukraine
Siyo kupambana na wanamgambo wenye magobole
rudi milembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…