4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kwahiyo trh 7 oct yakiyotokea yanahitaj umr kuyaelezea? hv waislam mmelogwa?Una miaka mingapi dogo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo trh 7 oct yakiyotokea yanahitaj umr kuyaelezea? hv waislam mmelogwa?Una miaka mingapi dogo ?
kwan trh 7/10 walioshabikia walikuwa hamas tu ? kipigo kinaendelea mpk akil iwakaeUngekuwa naufaham wa angalau kutofautisha kati ya Hamas na Palestina Ungejua kuwa ulicho andika hakina umuhimu wowote
Kwa kukusaidia tu, Nguvu inatumika kuomba Marekani ambaye ndiye anawasaidia Waisrael waache kuua Wapelestina wasiokuwa na hatia...
Nyongeza: Waisrael 20% ni Waislam na waliobakia ni Jewish/ hakuna wakristo kule au niseme ni kwenye 1.8%
Dogo una miaka mingapi ?kwahiyo trh 7 oct yakiyotokea yanahitaj umr kuyaelezea? hv waislam mmelogwa?
Mm namuabudu Yesu mkuuMimi simuabudu huyo allah wako,wala simuabudu mungu wa hiyo Israel yako.
Namuabudu Mungu aliyeumba mbingu na nchi,Mungu asiyebagua kuwa hawa ni watu wangu hawa siyo wangu,hili ni taifa langu hili siyo langu,mungu wako siyo mungu
hv una akili timamu , unalipa kisas kwa kuua raia wema ? ndo ukomboz wenyew huo?Itakuwa mfayagia Kanisa wewe. Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto. Lkn marekani na Israel baada kupigana na hamas anapigana na watoto wa changa. Hivi vita ni vya kidini dhidi ya waislam duniani
ww unaejuwa vita utuambie jamaa kakosea wap mpk ukamjib hivyoHuna lolote unaongozwa na mapenzi yako kwa Israel The real situation in the battlefield ni tofauti. Wabongo wengi hamjui vita ni nini mnaongozwa na ushabiki tu.
ss mbona hamas wenye nguv hawashind vita kama wanaopigwa ni watotoIsrael ni taifa la kigaidi,kibaraka wa Marekani na Uingereza
Hawana nguvu hiyo mnayowasifia,ni vile wanapigana na raia wasio na silaha.
Mungu wa Israel hii hawezi kuwa mungu tunayemuabudu
Mtu anajiita malaria unategemea nini mkuu, unaweza Kuta alishawahi kuugua cerebral malaria ikamuathiri uwezo wake wa kufikiri sasa amebaki kutumia matakle kufikiri.hv una akili timamu , unalipa kisas kwa kuua raia wema ? ndo ukomboz wenyew huo?
Yesu hajawahi kuwa na taifa analolipendelea,labda kama una Yesu wako mwingine wa Israel.Mm namuabudu Yesu mkuu
Hamas ni raia wasio na silaha,Israel na mumewe Marekani wanaonea wanyonge,waende Ukraine wakamtoe Russia kama wao ni wanaume.ss mbona hamas wenye nguv hawashind vita kama wanaopigwa ni watot
ss mbona hamas wenye nguv hawashind vita kama wanaopigwa ni watoto
Wale waliokili kuuwa kwenye tamasha hawakuwa Hamas kumbe?Hamas
Hamas ni raia wasio na silaha,Israel na mumewe Marekani wanaonea wanyonge,waende Ukraine wakamtoe Russia kama wao ni wanaume.
Israel ni magaidi na wauaji wanaonsingizia Mungu.
Nani kakwambia iran wapo mbali ?huelewi kitu weweJamaa kaongea ukweli iran na Hezbollah wamewadanganya hamas afu wao wapo mbali
walivamia Israel na mapanga? rudi milembeHamas
Hamas ni raia wasio na silaha,Israel na mumewe Marekani wanaonea wanyonge,waende Ukraine wakamtoe Russia kama wao ni wanaume.
Israel ni magaidi na wauaji wanaonsingizia Mungu.
Wapo mbali na wameshindwa hata kuwapa Hezbollah silaha za kisasa na drone.Nani kakwambia iran wapo mbali ?huelewi kitu wewe
Milembe arudi babaakowalivamia Israel na mapanga? rudi milembe
Kwani wakiwa Hamas inakuwa ndiyo sababu ya kuvamiwa na Marekani na mashost zakeWale waliokili kiuwa kwenye tamasha hawahuwa Hamas kumbe?
Sasa kama ulikuja kwa kuonekana sasa hivi unatumia watu kama ngao umejificha uonekani unataka nifanye nini ?? Je nicheze na dada yako au nikufumue Linda nipotee?Itakuwa mfayagia Kanisa wewe. Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto. Lkn marekani na Israel baada kupigana na hamas anapigana na watoto wa changa. Hivi vita ni vya kidini dhidi ya waislam duniani
rudi milembe , acha kuwewesekaMilembe arudi babaako
rudi milembeKwani wakiwa Hamas inakuwa ndiyo sababu ya kuvamiwa na Marekani na mashost zake
Kama Israel na mume wake Marekani ni wanaume wakanyage Ukraine
Siyo kupambana na wanamgambo wenye magobole