WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Hujitambuhi braza, vita ni kati ya Hamas na IDF point of correction okUngekuwa naufaham wa angalau kutofautisha kati ya Hamas na Palestina Ungejua kuwa ulicho andika hakina umuhimu wowote
Kwa kukusaidia tu, Nguvu inatumika kuomba Marekani ambaye ndiye anawasaidia Waisrael waache kuua Wapelestina wasiokuwa na hatia...
Nyongeza: Waisrael 20% ni Waislam na waliobakia ni Jewish/ hakuna wakristo kule au niseme ni kwenye 1.8%
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣leo hawana silaha??, kwani walitumia nini kuchinja na kukata vichwa vya watoto?Israel ni taifa la kigaidi,kibaraka wa Marekani na Uingereza
Hawana nguvu hiyo mnayowasifia,ni vile wanapigana na raia wasio na silaha.
Mungu wa Israel hii hawezi kuwa mungu tunayemuabudu
WAlijua ni rahisi kumbe ni noomaIran kawaingiza cha Kike Hamas, kawapa Silaha, kawaambia Lianzisheni then mimi ntaingilia kati, safari hii, lazima tuifute Israel, Baada ya Mashambulizi kuanza...!
Marekani kwa kujua kila Mipango ilopangwa na Irani, alichofanya akasogeza lile Dude lake la Baharini, linaloweza kuifanya Bahari kuwa nchi Kavu!
Kinachoendelea ni Iran kubweka kama Mbwa Koko kila siku.
Hao akili zimeshikiwa na watu flan majini hao magaidi watu wabaya sanakwahiyo trh 7 oct yakiyotokea yanahitaj umr kuyaelezea? hv waislam mmelogwa?
Hamas
Hamas ni raia wasio na silaha,Israel na mumewe Marekani wanaonea wanyonge,waende Ukraine wakamtoe Russia kama wao ni wanaume.
Israel ni magaidi na wauaji wanaonsingizia Mungu.
Hahaaa. Vipi umekunywa bia. Hivi ni vita vya kidiniNasema hivi Kichapo kiendelee
Piga magaidiiii hayoo yakiongozwa na Malaria 2
Halafu kanisani kwenu mkiona mjusi nyote mnakimbia mtaita waislam wa karibu waje kumtoa.Ndio mlivyomezeshwa huko misikitini[emoji28]
Halafu kanisani kwenu mkiona mjusi nyote mnakimbia mtaita waislam wa karibu waje kumtoa.
Hahaaa. Itakuwa umekasirika weweHili naliskia kwako,nadhani pia itakua waislamu wanakula ile mijusi kafiri.
Hahaaa. Itakuwa umekasirika wewe
Mpaka Sasa ni wapalestina 7,000 wameshakufa ndani ya siku 19 tangu vita ianze ni wastani wa watu 380 kufa Kila siku.We mtoa mada nakushauri kapime akili zako, kwanza Israel kapigwa na Hamasi hakupigwa na watu wa Gaza, majumba ya Gaza, Hospital za Gaza, Shule za Gaza, kawakimbia Hamasi ukitaka kujua Israel hawana jeshi walisema wanapiga majumba kuna kambi za jeshi na silaha za Hamasi, wakapiga mashule, hospital, makanisa, misikiti na kila kilicho Gaza mpaa Baker wakidai kuna silaha hatujaona zaidi ya watoto, wanawake, vizee na badhi ya vijana hawana kabisa silaha ya aina yeyote ile.
Sa wanaulizwa kwanini huingi Gaza siumeisha vunja silaha na umewaua Hamasi kwenye majumba, hospital, shule na sehemu zote ulizo piga wanasema wako chini ya mahandaki [emoji1] sa kama wako kwenye mahandaki kwanini mnapiga majumba? Hospital, Shule na maduka, Baker yani kama si chuki tu kwa kila Mpalestine hata kama si kojana wa Hamasi [emoji1]
Msikiti wa babako,Mimi ni mkatoliki nasali Parisian ya Mt Gaudence Makoka,jumuiya ya my Theresa wa mtoto Yesu.Ndio mlivyomezeshwa huko misikitini[emoji28]
Niende na mamaako?rudi milembe , acha kuweweseka
Ungekuwa naufaham wa angalau kutofautisha kati ya Hamas na Palestina Ungejua kuwa ulicho andika hakina umuhimu wowote
Kwa kukusaidia tu, Nguvu inatumika kuomba Marekani ambaye ndiye anawasaidia Waisrael waache kuua Wapelestina wasiokuwa na hatia...
Nyongeza: Waisrael 20% ni Waislam na waliobakia ni Jewish/ hakuna wakristo kule au niseme ni kwenye 1.8%
Hamas
Hamas ni raia wasio na silaha,Israel na mumewe Marekani wanaonea wanyonge,waende Ukraine wakamtoe Russia kama wao ni wanaume.
Israel ni magaidi na wauaji wanaonsingizia Mungu.
walivamia Israel na mapanga? rudi milembe