We mtoa mada nakushauri kapime akili zako, kwanza Israel kapigwa na Hamasi hakupigwa na watu wa Gaza, majumba ya Gaza, Hospital za Gaza, Shule za Gaza, kawakimbia Hamasi ukitaka kujua Israel hawana jeshi walisema wanapiga majumba kuna kambi za jeshi na silaha za Hamasi, wakapiga mashule, hospital, makanisa, misikiti na kila kilicho Gaza mpaa Baker wakidai kuna silaha hatujaona zaidi ya watoto, wanawake, vizee na badhi ya vijana hawana kabisa silaha ya aina yeyote ile.
Sa wanaulizwa kwanini huingi Gaza siumeisha vunja silaha na umewaua Hamasi kwenye majumba, hospital, shule na sehemu zote ulizo piga wanasema wako chini ya mahandaki [emoji1] sa kama wako kwenye mahandaki kwanini mnapiga majumba? Hospital, Shule na maduka, Baker yani kama si chuki tu kwa kila Mpalestine hata kama si kojana wa Hamasi [emoji1]