Shangwe zilizopigwa Israel ilipovamiwa siku ya kwanza zipo wapi, Mbona nguvu kubwa inatumika kumpigia magoti Isreal aache kujilinda (cease fire) ?

Itakuwa mfayagia Kanisa wewe. Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto. Lkn marekani na Israel baada kupigana na hamas anapigana na watoto wa changa. Hivi vita ni vya kidini dhidi ya waislam duniani
Waambie Hamas wasijifiche kwenye makazi ya watu. Sisi unatuambia ili iweje ? Wanarusha maroketi halafu wanaenda kukaa nyuma ya wanawake na watoto so what? Acha wachinjwe

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
 
BREAKING: Israeli PM's office says the government is firmly opposed to a ceasefire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…