Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Kwa hiyo wewe kwa ulichoandika hapa unaonesha jinsi ulivyo na kitu kichwani,au siyo?Huyo jamaa kipa katoka! Hamna kitu kichwani [emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe kwa ulichoandika hapa unaonesha jinsi ulivyo na kitu kichwani,au siyo?Huyo jamaa kipa katoka! Hamna kitu kichwani [emoji16][emoji16]
Waambie Hamas wasijifiche kwenye makazi ya watu. Sisi unatuambia ili iweje ? Wanarusha maroketi halafu wanaenda kukaa nyuma ya wanawake na watoto so what? Acha wachinjweItakuwa mfayagia Kanisa wewe. Hamas walipovamia Israel walikua wanalipa kisasi na hajaua watoto. Lkn marekani na Israel baada kupigana na hamas anapigana na watoto wa changa. Hivi vita ni vya kidini dhidi ya waislam duniani
Zile rocket ni nini?. Hams wa buza tulia dawa iingieHamas
Hamas ni raia wasio na silaha,Israel na mumewe Marekani wanaonea wanyonge,waende Ukraine wakamtoe Russia kama wao ni wanaume.
Israel ni magaidi na wauaji wanaonsingizia Mungu.