Shehe: Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?

Kwa hiyo huyu fala tusadiki kwamba katumwa na Samia, siyo?
 
Sasa tukisema tuwauzie wakoloni wetu vitu vyao hata Tanzania yenyewe yote tutawapa Wajerumani maana mipaka ya Tanzania ilivyo ni matokeo ya pilika za Mjerumani. Huyu Sheikh atasema nini kwa hilo? Hakukua na nchi inaitwa Tanzania yenye mipaka kama tuijuavyo kabla ya Mjerumani. Na jina tutabadili tujiite Ujerumani ya Afrika Mashariki

Kuwa na kichwa bila akili ni sawa na kubeba mzigo wa mawe kichwani
 
Una maoni gani? THE BIG SHOW
 
“Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Rasilimali zetu walizoiba anazijua?
Yeye mwenyewe ni mabaki ya waarabu haohao
 
Wacha kukariri eti wana maisha magumu
 
Ngoja viongozi waendelee kuchukulia poa haya mambo ya kidini,mbegu inayopandwa sasa lazima itaota na itazaa!

Muda utazungumza
Hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania 🇹🇿 !
Nyerere alifanya kazi kubwa ya kuwafanya Watanzania wawe ni kitu kimoja na kila mtu na imani yake. !!

Hao wanaobwatuka mitandaoni hawana uwezo wowote wa kuanzisha chochote kibaya katika Nchi hii. !

Chezea kila kitu lakini usijaribu kuchezea Amani ya Nchi hii !
Hata wa Dini yako watakugeuka !! 🙏🙏
 
Si ndiyo huyu anayetumiwa na Mkwere kunanga kwamba JPM hana uhusika hata chembe kwenye ule msikiti wa Bakwata Kinondoni?
Unafiki ni kipaji maana wanajiaminisha wapo sahihi kumbe wanadanganya saikolojia zao
 
Freedom of expression !
Ni mawazo yake tu !
 
Kwanini baadhi ya ndugu zetu waislam wanawaabudu hivi waarabu? Hivi mtu kama huyu anaweza kumnyima kitu chochote muarabu akitaka? Si atampa tu? Naogopa sana kuwaza kama rais wetu naye msimamo wake ni huu. Asipokemea hawa na kujitenga na misimamo yao kwa waarabu itaonekana na yeye ni kama hawa mashehe kwa kinachoendelea nchini. Hawa jamaa hata muarabu akisema anaitaka Tanzania leo watajiunga naye kutuangamiza tusio wa imani hiyo. Utumwa huu wa fikra unatisha sana. Hivi muarabu ni Mungu kwao?
 
Waislam wako njema sana kwenye dini yao, natamani sana siasa zisiwachote na kuwatenganisha.

Kuna waislam wenzake walioneemeka enzi za Magu, hao wasemaje. !!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…