Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

Sheikh wa ajabu kuwahi kuwepo chini ya jua.
 
Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.

Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.

Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Hahahahaaaaa

Rangi za chadema ni za wale watu wa valentine day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si huyu huyu Shekhe alisema kuwa Njano ni rangi ya Ubwabwa aina ya Pilau kwa hiyo ni Rangi iliyobarikiwa
 
Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.

Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.

Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Hapo anazungumzia Mungu wake na CCM yake na siyo Mungu tunayemjua sisi. Jinga kweli hili nalo!
 
Hivi TAKUKURU ipo kwa ajili ya kuwashughulikia watu fulani tu? Mbona Tulia anamwaga pesa kama njugu huku Mbeya akijiandaa kugombea ubunge Mbeya mjini na hakuna anayemkemea?
NEC nao wapo kimya wakimwacha aendelee na kampeni zake kabla ya wakati. Vipi?
Mangula naye alisema ni marufuku watu kuanza kutafuta ubunge, wasubiri hadi muda muafaka, lakini Mbeya huku Tulia anaendelea na kusaka ubunge bila shida. Je, huyu ni mgombea pekee toka CCM kwa mwaka huu 2020?
 
Huwa najiuliza,kuwa shehe wa mkoa vigezo Ni Nini?.
Huyu hakupaswa hata kuwa mdeki choo cha msikiti.
Mungu yupi anabariki rangi?.
 
Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.

Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.

Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Hivi hawa ndugu zetu nao waliona huyu ndiye awe mkubwa wao kwenye dini/imani yao?
 
Hivi TAKUKURU ipo kwa ajili ya kuwashughulikia watu fulani tu? Mbona Tulia anamwaga pesa kama njugu huku Mbeya akijiandaa kugombea ubunge Mbeya mjini na hakuna anayemkemea?
NEC nao wapo kimya wakimwacha aendelee na kampeni zake kabla ya wakati. Vipi?
Mangula naye alisema ni marufuku watu kuanza kutafuta ubunge, wasubiri hadi muda muafaka, lakini Mbeya huku Tulia anaendelea na kusaka ubunge bila shida. Je, huyu ni mgombea pekee toka CCM kwa mwaka huu 2020?
Huyo Ni mkubwa kuliko hao walotoa hayo matamko.
 
Back
Top Bottom