sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
Mange yule mkimbizi?!
Eeh, yule aliepelekewa dola laki 5 ili asiwe anamtukana Jiwe.. Ila makubaliano ni kwamba wengine ni free kutukanwa, including huyu kijana, bingwa wa kuoa na kuacha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange yule mkimbizi?!
Kwa hiyo!Hata bendera ya taifa ina kijani!
Amani tupu!Kwa hiyo!
Ni jembe lenu hapo LumumbaHamtafautiani na huyu mjinga, naona mnaleta ufarakano wa kidini, Allah anachukia ubaya,uovu na mambo ya kijina ya kuwachonganisha binadamu, moja kama hili la kwenu.
Huyo Alhad sio mwakilishi wa Allah wala mtu yoyote, mi mfanyi kazi wa Serekali
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaaaaaSheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa.........!
Mange Kimambi ndiye ana habari zake A-ZHivi huyu sheikh sio yule 'baharia' kweli?
nahisi huyu kuna mungu anaemjua yeye lakini sidhani kama ni yule Mungu Mwenyezi 'aliyeichoma sodoma na Ghomora'!
Hapo anazungumzia Mungu wake na CCM yake na siyo Mungu tunayemjua sisi. Jinga kweli hili nalo!Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
okey FaizaFoxy tusaidie hapa andiko linaloonyesha Allah amebariki rangi ya kijani.
BAKWATA tuu, wale wengine hawamtambui kabisa yeye wala hiyo idara yake chini ya ccmAlhad Musa ni sheikh wa mkoa wote wa Dsm........Hajakurupuka!
Hivi hawa ndugu zetu nao waliona huyu ndiye awe mkubwa wao kwenye dini/imani yao?Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Huyo Ni mkubwa kuliko hao walotoa hayo matamko.Hivi TAKUKURU ipo kwa ajili ya kuwashughulikia watu fulani tu? Mbona Tulia anamwaga pesa kama njugu huku Mbeya akijiandaa kugombea ubunge Mbeya mjini na hakuna anayemkemea?
NEC nao wapo kimya wakimwacha aendelee na kampeni zake kabla ya wakati. Vipi?
Mangula naye alisema ni marufuku watu kuanza kutafuta ubunge, wasubiri hadi muda muafaka, lakini Mbeya huku Tulia anaendelea na kusaka ubunge bila shida. Je, huyu ni mgombea pekee toka CCM kwa mwaka huu 2020?