Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Labda kwa wenzetu wazungu wanaoongozwa na taasisi ambako Rais hafanyi maamuzi mengi ya mwisho.
Hata wazungu hawakubali ndio maana US wakampa Trmpu pamoja na mapungufuyake yote wakamuacha clinton.

Trmpu alikuwa na mapungufu ndiomaana akaongoza kipindi kimojatu, walimchahua tu ilikumkwepa bibi clinton.
 
Hata wazungu hawakubali ndio maana US wakampa Trmpu pamoja na mapungufuyake yote wakamuacha clinton.

Trmpu alikuwa na mapungufu ndiomaana akaongoza kipindi kimojatu, walimchahua tu ilikumkwepa bibi clinton.
Kwahiyo boss unamuunga mkono sheikh?
 
Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.

Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.

P
Mhmmm weunataka mambo yawe mengi.

Nimemsikia kama anatamka maneno ya kiarabu,kabla ya kuongea kiswahili, probably hayo maneno anayatoa kwenye kitabu.

Kama anatoa kwenye kitabu then shehe mkuu has nothing to do.
 
Nona hakika huyu shekhe walid aliyazungumza haya zamani hata kabla ya mama samia kuingia madarakani.

Hawezi kuthubutu kuzungumza haya wakati mama samia kaingia uongozini.

Huyu shekhe aliyasema maneno hayo zamani,sasa hivi hawezi kusema hivyo lazima alegeze kamba tu.
 
Trump remains the best president however.
The best president ambae amehudumu kipindi kimoja?.
Unadhani kwanini hawakumrudisha, nikwasababu US walimkwepa bb clnton na sio kwa sababu ya uborawake.
 
Back
Top Bottom