Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wazungu hawakubali ndio maana US wakampa Trmpu pamoja na mapungufuyake yote wakamuacha clinton.Labda kwa wenzetu wazungu wanaoongozwa na taasisi ambako Rais hafanyi maamuzi mengi ya mwisho.
Kwahiyo boss unamuunga mkono sheikh?Hata wazungu hawakubali ndio maana US wakampa Trmpu pamoja na mapungufuyake yote wakamuacha clinton.
Trmpu alikuwa na mapungufu ndiomaana akaongoza kipindi kimojatu, walimchahua tu ilikumkwepa bibi clinton.
Duh..Takbiiiiiiiiir!
AmeshachelewaAnaunga mkono wanawake kuongoza, lakini siyo kwa nafasi ya Uongozi wa Juu kabisa wa nchi.
Sio kwa udhaifu wa taasisi yetu..maza tutamlaumu bureLabda kwa wenzetu wazungu wanaoongozwa na taasisi ambako Rais hafanyi maamuzi mengi ya mwisho.
Kwani hizo hatamu za siasa zinabadili jinsia ?Kwa mfano mimi siruhusu mke wangu kugombea hata udiwani viti maalum. Mwanamke akishajiingiza kwenye hatamu za siasa sio mwanamke tena
Mhmmm weunataka mambo yawe mengi.Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
P
Hata US hawakutaka kumwamini mwanamke Hilary Clinton wakaona bora wampe mwendawazimu Trump.Labda kwa wenzetu wazungu wanaoongozwa na taasisi ambako Rais hafanyi maamuzi mengi ya mwisho.
Nona hakika huyu shekhe walid aliyazungumza haya zamani hata kabla ya mama samia kuingia madarakani.Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Zinabadili jinsiKwani hizo hatamu za siasa zinabadili jinsia ?
The best president ambae amehudumu kipindi kimoja?.Trump remains the best president however.