Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Huwa hatupendi shari! Tatizo lenu huwa mnapenda sana vurugu! Kuua watu kwa mgongo wa dini, nk!! Kifupi tu Waarab wamewaharibu sana mind set zenu.
Sasa magaidi wako huru, unaonaje?Acha kutetea magaidi
HAHAHHAHAHA....... umesema nani ashughulikiwe tena...MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.
Mungu ibariki Tanzania
Tutakuwa na Tanganyika yetu tuliyoi-miss kwa miaka na kuondokana na parasite wanaotunyonya!Muungano ukivunjika, wewe unapata faida gani?
Ahaaaa![emoji116]View attachment 1820878
JIWE hakuwepo Madarakani wakati hawa mashehe wa ugaidi wanashikiliwa. Acha uzushi. JIWE hahusiki na hawa watu usimkandie kwasababu alikuepo ni mkristo ukawasahau Kikwete na shein wote waislamu ndio walikuepo Madarakani akati wanashikiliwa hao magaidiMUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu kawakumbuka ni jambo la kushukuru.Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi.
Sheikh Mselem: Tumechukuliwa Gerezani jana Usiku, Maghrib na Insha tumeswali palepale gerezani, tumechanganywa na baada ya kuswali Maghribi tumetoka zetu tukaja Airport.
Airport tumeingia kwenye ndege ilikuwa iko faragha, tumefika zetu hapa tumefikia VIP ya zamani, ndege imekaa peke yake, hakuna mtu zaidi ya wenyewe na tulivyotoka pale kila mtu akaingia kwenye gari lake, akaulizwa nikupeleke wapi?
Mzee Mselem nikupeleke kwa mke wa kwanza, wa pili, wa tatu? Nikawaambia kwanza naenda kwetu, muda mrefu sijafika, nikayasome matatizo, ya kutatua nitatue na mengine alafu ndio nitaanza tena kwenda.
Hatukupewa waraka wowote.
Hakuna kitu unajua. Utajua hujui, unfortunately haitatokeaTutakuwa na Tanganyika yetu tuliyoi-miss kwa miaka na kuondokana na parasite wanaotunyonya!
Kitu ninachojua ni kuwa Zanzibar ni parasite, wewe unajua nini?Hakuna kitu unajua. Utajua hujui, unfortunately haitatokea
Wakirudia this time hamna jela, ni kupotezwa mazima
Waambie warudie upuuzi wao waoneWapotezwe na nani? Unafikiri hii awamu ni kama ile yenu iliyopita! Wakina saa 8, azori n.k umesahau!!!
Mlipiga vigelegele sana waendelee kukaa ndani, sasa washatoka mnatamani mpasuke 🤣🤣
Mungu ni mkubwa
Raisi Samia ahsante, Mungu akubariki sana
Raisi Mwinyi ahsante, Mungu akubariki sana
DPP ahsante, Mungu akubariki sana
20 tenaaaa, mtanyooka tu.
JIWE hakuwepo Madarakani wakati hawa mashehe wa ugaidi wanashikiliwa. Acha uzushi. JIWE hahusiki na hawa watu usimkandie kwasababu alikuepo ni mkristo ukawasahau Kikwete na shein wote waislamu ndio walikuepo Madarakani akati wanashikiliwa hao magaidi
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Ni vizuri kama umeelewa nilichokuwa na maanisha jinga kabisa.Punguza mihemko mkuu,
Kwa umeelewa Nini nilivoandika "amshughulikie".
Nimekusamehe bure,
Una uelewa mdogo Sana wa mambo
Mkuu jiongeze hapo, zilikuwa tabia zake pia (Refer kijana wake pendwa Sabaya)..Mbona Babu Seya na Papii kocha WALAWITI watoto walifungwa wakati wa Mkapa lakini wakaja kuachiwa ktk utawala wa Magufuli?
..Na kwanini WALAWITI watoto walipokelewa na kupiga picha na Raisi Ikulu?
..Kiongozi wa aina gani anakuwa mwepesi kuwaachia walawiti lakini mzito kuwaachia Mashekhe ambao tuhuma dhidi yao zimeshindikana kuthibitishwa?
Mhubiri dini ya Mtume wenu sasa! na siyo kuhamasisha vitendo vya uvunjifu wa amani kwa kisingizio cha kutaka kuvunjwa kwa Muungano!