Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

Fala kabisa lilimlinganisha Yesu na Magufuli. Hovyo kabisa takataka
Unaweza usijue, lakini inawezekana kabisa kwamba huyo sheikh anayo agenda muhimu anayoitekeleza kwa njia zake mwenyewe, na inaelekea yuko 'consistent' juu ya jambo analolifanyia kazi.
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake.

Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, leo Jumamosi Julai 2, 2022.
Hawa masheikh wanawaza chini tu 🤣
 
Ushauri mzuri,Ila Asishangae Akiona Pm Wanapishana huko mbele...Wife ndio mshauri mkuu wa Pm atakuwa hampendi huyo jamaa.
 
Its true hakuna ndoa ya mke kuwa mkristo na mume muislam batili
Ipo mkuu,inategemea unaishi nchi gani.
mfano kama Tanzania ingekuwa inaongozwa kwa sheria za kiislamu basi Kassimu anaruhusiwa kabisa kumuoa bi Marry akiwa hukohoko ukristoni
 
Unaweza usijue, lakini inawezekana kabisa kwamba huyo sheikh anayo agenda muhimu anayoitekeleza kwa njia zake mwenyewe, na inaelekea yuko 'consistent' juu ya jambo analolifanyia kazi.
sidhaana kama so called Kiongozi wa dini
 
Fala kabisa lilimlinganisha Yesu na Magufuli. Hovyo kabisa takataka
Bwahaaa bwahaaa, mkuu nimecheka kwa nguvu. Nahisi mkikutana na shehe mkuu mtagawana majengo ya umma, yeye mortuary, na ww lupango.
 
Weka hilo andiko

Allaah Aliyetukuka Ametoa ruhusa kwa mwanamume wa Kiislamu kumuoa mwanamke wa Kitabu (Mkristo au Myahudi). Hata hivyo Allaah Aliyetukuka hakuliacha jambo hilo bila ya kuliekea masharti. Ikiwa masharti hayo yaliyowekwa yatakuwa ni yenye kutimizwa basi kutakuwa hakuna tatizo. Aayah inayohusiana na hilo ni ile ya Suratul Maa’idah (5): 5,

“Leo mmehalalishiwa vyote vizuri, na pia chakula cha waliopewa Kitabu ni halali kwenu na chakula chenu ni halali kwao. Na wanawake Waumini Muhswanaat na wale Muhswanaat waliopewa Kitabu kabla yenu ikiwa mtawapatia ujira (mahari) wao kuwataka kwa ndoa wala sio kuweka wazi zinaa wala kuwachukua kama vimada kwa siri”. Neno Muhswanaat lina maana ya wanawake wema watwaharifu waliojiweka mbali na uzinzi. Na ibara za mbele zinamaanisha kuwa wanawake hawa wasiwe ni wale wenye kufanya zinaa kwa siri au dhahiri.

Ikiwa Mkristo ana sifa hizo basi unaweza kumuoa baada ya kutimiza na hayo masharti mengine ya ndoa.
 
Back
Top Bottom