Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

Ndio mlipogeukia kuiba mitihani na vyeti feki,baada ya kubanwa huko kwenye namba.
 
Huko kuiba mitihani,ndipo mnapokabidhiwa majukumu ya kikazi,yanawashinda.Inabakia kutafuta vyeti fake.
Madhara ya kuiba mitihani ni kupata watoto wengi wenye ufaulu mkubwa fake kupata nafasi za kusoma vyuo vikuu na kuwanyima nafasi hizo wale shule za kata wenye ufaulu mdogo lakini halali.

Dhambi nyingine ni watoto hao wenye ufaulu mkubwa fake wanapata fursa ya kuingia vyuo vikuu vya umma vyenye ada ndogo.

Dhambi nyingine hapo ilikuwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilikuwa inatoa mikopo kwa wanafunzi wenye ufaulu mkubwa tu.

Hivyo watoto wa kiislamu wanapigwa mapanga pande zote, lakini viongozi wa dini wanasomea dua viongozi wa kisiasa waishi milele. Hii nadhani sio sawa, ni woga na ukosefu wa weledi wa unachokisimamia.

Viongozi wa dini lazima wazalishe waumini ambao ni marubani wa kuwapeleka kuhiji Maka, madaktari, wahandisi, wanasiasa kama Samia na Jakaya wenye elimu akhera pia na raia wema wengi kwenye taifa. Na hicho ndicho wanachofanya wakatoric. Ndio maana marais wote watatu wakristo walikuwa wakatoriki, hii haikuwa bahati mbaya hata kidogo, ni mpango mkubwa sana unamkataza hata Rais muislam kuwa muislam. Jakaya Kikwete alikatazwa na wakatoriki kuruhusu Kadhi awepo nchini, simnakumbuka?
 
Khabari nzuri kama hiyo ni yakupongezwa lakini haitoshi kwa taifa ambalo karibu nusu yake ni waislamu. Juhudi kama hizo zilipaswa kujulikana kwa waislam woto nchi kupitia misikitini na vyombo vya habari vya kiislam na umma ili walengwa wawe na fursa sawa katika kuufikia huo mfuko wa Mufti. Hata mimi niliyeko huku Nanjilinji napaswa kupata khabari juu ya neema hiyo kidogo sawa na tone la damu kwenye bahari.
 
Umeangukia mulemule mwa mleta mada.
 
Kinachotokea kwa jamii za muislam za tanzania na Black Americans wa USA ni kile kinachofahamika kama vicious cycle, unapomnyima mtu fursa ya elimu unamnyima pia fursa ya maono na fursa za kiuchumi pia. Mtu mwenye elimu atapenda mtoto na mjukuu wake pia wapate elimu, mtu mwenye ajira atapata uwezo wa kiuchumi wa kuwekeza kwenye elimu nzuri ya watoto wake na kujipanua kwenye miradi ya kiuchumi kuliko mwenzake ambae hana ajira. Mtu mwenye ajira anaaminika kwenye vyombo vya kifedha kuliko asiyekuwa na ajira, watu wenye ajira ndio wale wanaoitwa kwwnye mikutano na semina mbalimbali za kikazi na kulipwa per dieum ambazo zinatumika kuwekeza zaidi kwenye miradi ya elimu za watoto wao, kunuanua ardhi na kupata mitaji.

Black Americans asili yao ni vibarua rahisi bila ujira au ujira kidogo sana usiowawezesha kupata mahitaji ya msingi na kusomesha watoto wao kwenye shule nzuri na vyuo vizuri ambavyo ni ghari sana kule USA, hivyo hadithi ya umaskini itaendelea milele kule kwenye jamii hiyo kama hakutafanyika mabadiliko. Obama alijaribu kuwatafutia nafuu kundi hilo lakini alipingwa sana.

Waislam wa Tanzania pia wanashida hiyo, kama wazazi wako hawana elimu ni vigumu kuithamini elimu ya mtoto, lakini kama huna kipato utashindwa kusomesha watoto wako kwenye hata shule za kata tu zisizokuwa na mabweni, chakula wala usafiri sembuse kuwasomesha shule za Academy za Feza, Tusime, St. Frolence, Marian, na Kifungilo? Hivyo mtoto wa asiyekuwa na ajira atazalisha watoto wakata majani ya ng'ombe, Shamba boys, house girls, waosha magari na wakamua maziwa kwa wenye ajira na elimu.

Kuna waajiri nchini wanathamini kuzungumza kiingereza zaidi ili upate ajira bila kujali ujuzi wa MTU, hivyo watoto wanaosoma shule za kiingereza ndio wataajiliwa zaidi.

Jamani tatizo no kubwa sana. Ajira ndiyo mtaji mkubwa wa wakrito nchini, MTU mwenye ajira hata sadaka yake kanisani no kubwa pia.
 
Kaka wakristo, hasa wakathoric wamejipanga kibaguzi duniani. Baada ya serikali kuanzisha shilule nyingi za Kata ikaonekana kuwa watoto wa dini zote wanapata elimu na kustahili kuingia vyuo vikuu nchini. Serikali akaanzisha mfumo wa udahiri wa wanafunzi kuingia vyuo vikuu waliokuwa wakiuita Central Admission System (CAS) ambapo wanafunzi walikuwa wanaomba TCU kwa njia ya mtandao (online) na mfumo wa TCU ulikuwa unachagua watoto wenye ufaulu bila kubagua dini kwenda vyuo vikuu. Baada ya kuona mfumo huu haubagui dini au vyuo vya kusoma wamiliki wa vyuo vikuu binafsi vya dini wakamfuata mkuu wa nchi asimamishe Mara moja CAS ili vyuo vichague vyenyewe wanafunzi wao wanaotaka kuwachagua. Lengo kuu LA kufanya hivyo sio lingine bali kupata uwezo wa kufahamu na kuchagua idadi ya watoto na dini zao kwenye vyuo vyao badala ya kuletewa na TCU wanafunzi wasiojulikana dini zao. Kwakutumia CAS ya TCU waislam walionekana wengi sana pia kwenye vyuo vikuu vya madhehebu ya kidini.
 
Mkapa alizirudisha kwa wakristo baadhi ya shule zilizokuwa zimechukuliwa na serikali kwaajili ya watoto wote wa dini zote wasome. Huku akijua shule hizo zilijengwa na wakoloni kwa kutumia rasilimali za watanganyika wote na ziko kwenye ardhi ya watanzania wote na zinatumia maji na umeme wa watanzania wote na zinatumia mbao na nguzo za watanzania wote
 
 
Yeye ni kiongozi wa dini ya kiislamu acha ajenge misikiti ili watu wakamwabudu MWENYEZIMUNGU

Viongozi wa kisiasa kupitia kodi za wananchi watajenga shule

Au wewe wasiwasi wako nini
 
Ndio mlipogeukia kuiba mitihani na vyeti feki,baada ya kubanwa huko kwenye namba.
Hahahaha... Maamuma wa kiislam unapaswa ujisikie hata aibu kuandika huu Uongo, someni.

Pelekeni watoto wenu shule na sio madrassat tu

Mtaendelea kulia mpaka siku ya kiama
 
Eti wakamfuata Mkuu wa Nchi asimamishe Mara moja.

Hahahahaha....unaweza kuweka ushahidi hapa?

Hebu thibitisha hili tuamini.

Wafuasi wa Bwana Mudy bana

Nasubiri uthibitishe hili

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yeye ni kiongozi wa dini ya kiislamu acha ajenge misikiti ili watu wakamwabudu MWENYEZIMUNGU

Viongozi wa kisiasa kupitia kodi za wananchi watajenga shule

Au wewe wasiwasi wako nini
Maaskofu wanamcheka, ibada na Kazi, Kazi na elimu. Yeye kabaki kulekuke kwa fungeni kwa kuuona mwezi.
 
Ushahidi ni CAS kufa baada tu ya JK kumaliza muda wake na JPM (Mkathoric) kuanza Kazi, kwanini shule zirejeshwe kwa wakristo na Mkapa (cathoric) baada tu ya Mwinyi kumaliza kipindi chake.

Hakuna siri wala ubishi wakathoric ndio wenye shule na vyuo Vinci nchini. Pia wanaongoza kwa kukalia ardhi kubwa ya nchi hii.
 
Kwanza Cathoric ndio nini?
 
Maaskofu wanamcheka, ibada na Kazi, Kazi na elimu. Yeye kabaki kulekuke kwa fungeni kwa kuuona mwezi.


Sio kufunga tu hata kufungua na si kuuona tu hata kusikia

Suala la elimu ni jukumu la mwanadamu kuitafuta elimu popote pale ilipo na ndivo maandiko yanavoamrisha

Acha mapadre wamcheke tu hiyo isikupe shida
 
Kumbe walirudishiwa iliyo halali yao? Na nyie ombeni mrudishiwe vya kwenu
 
Kwenye suala la elimu waislamu acheni kutulaumu wakristo. Laumu haisaidii. Tatizo mnalijua je mnafanyaje? Wekezeni kwenye elimu dunia. Uwezo huo mnao. Wakatoliki kila wanapojenga kanisa hununua eneo lenye ukubwa Wa hekar kama tano. Hujenga kanisa kisha huongeza Huduma kidogo kidogo kadiri muda unavyokwenda. Muda ukipita wanaongeza shule, hosipitali Na mwisho vyuo. Huduma zote hizi ni kwa ajili ya waumini wao. Kwa upande Wa waislam msikiti unajengwa kwenye eneo la 30*20. Linakwisha lote. Kesho hata wafikirie kuongeza kitu hakuna pa kukiweka. Hatua ya kwanza ni kubadili mindset zao. Kukaa mkiwa mnalaumu haitasaidia. Educate your masses and then fight for the little slice of bread that is there. Don't complain without taking even a single step. Do something and do it now.
 

Tatizo sio elimu mkuu, Wengi wa hao mashekhe wanaelimu yakutosha, Wengi wao wana Masters, kwa uchache Degree. Tatizo ni Bakwata, Wapo pale kwa ajili ya Maslahi ya CCM na si maslahi ya waislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…