Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Huo ndiyo Waraka wa Mashehe😃😃.

So Ushauri wa Maaskafu kwa serikali unajibiwa na Mashehe na akina Mwijaku na Kitengwe? This is so interesting😃
Unataka askofu ajibiwe na nani,wao nani kwani!?..serikali Haina wataalam!?
 
Yaani waheshimiwa wasilale kwa lile povu la kuogopa wajenga misikiti!?..ikulu Kuna godoro la maji,unakosaje usingizi!?
 
Igawanywe ili nyie muishi peke yenu bila makafir.
Pakistan na India waligawana kwa kigezo cha dini si ajabu na hapa kugawana
TUNA TATIZO LA MKATABA WA BANDARI, SIO TATIZO LA DINI. Wewe unaleta udini mpaka na mm ushanipachika dini isiyo yangu ili kuwe na uhalali tugombane.

Hii janja janja ya kuingiza dini ili tuanze kujificha kwenye udini ni UPUMBAVU. VITA VYETU SI VYA KIDINI, NI VITA VYA MKATABA MBOVU WA BANDARI.

KAMA MBWA, MNATOKA KWENYE RELI MAPEMA, YAANI MMETUPIWA MFUPA TU MMEACHA ULINZI MNAUGOMBANIA.
 
mnajidanganya kweli yaani hao katoliki ni nani hasa kwenye nchi hii mpaka watuendeshe wachahce hivyoi kama vile wote ni wakatoliki? kwendeni hukoo mmekwama
 
Hawa ni mapadre!!??
 
Hao hawatakiwi kujibiwa,ili wajione wapuuzi na siku nyingine wasirudie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…