Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Hii nchi safar ni ndefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mahakama imeona hoja ni dhaifu imetupilia mbali hoja hizo. Mahakama ndo chombo cha kutafsir sheria.

Em na wew tuambie article ipi inashida mkataba si umeusoma?
Mahakama na Bunge haviko huru rejea uwepo wa Wanawake kumi na tisa Bungeni kama wabunge wa vitu maalum
 
Hizi harakati za kijinga hazisaidii ccm, wala hazitakuja kuisaidia, Mnabaribu tu.
Huo ndiyo Waraka wa Mashehe😃😃.

So Ushauri wa Maaskafu kwa serikali unajibiwa na Mashehe na akina Mwijaku na Kitengwe? This is so interesting😃
Endeleeni tu kuchezea koki
Masheikh na waislamu njaa kutwezwa utu wao na waarabu kwao ni Sunna hivyo hata tukipigwa mnada mradi mnunuaji ni muarabu na muuzaji ni muislamu basi wao burudaniiii kabisa. Mijitu ya hovyo isiyotumia akili
Muda si mfupi sheikh ataanza kutembelea vieitee. Anapambana mno huku kashika tope mkononi kumchafua yeyote anayeupinga mkataba.

CCM imetufikisha hapa. Tuikatae
Hivi najiuliza Modes, UZI KAMA HUU je wamefanya utafiti kuona kama taarifa hii ni ya ukweli? Au wanakuwa biased?
Sikutegemea waurushe hivi hivi
 
Huyo sheikh ni mpumbavu na aelewe kwamba hata waislam wa sasa hivi ni waelewa hivyo hawawafuati masheikh wapumbavu kama hawa!
 
Nyie ndio mnaifanya dini ya watu isemwe vibaya
Acha udini MAKU wewe, always unajikita UDINI, na UKABILA. Jiangalie sana.

Unahisi waislam hawajielewi na nyie ndio mnajielewa.

Unahisi muislam akitoa maoni yake basi hajatumia akili, ila akitoa mkristo ametumia akili.

Unahisi waislam hawana haki ya kuongoza?

Shukuru uko mbali na tulipo waislam, ila ungekuwa mfano kwa wasengerema wenzako wote. Una chuki sana na waislam maku wewe. Ungekuwa karibu leo taarifa ya habari ingekuwa kuhusu wewe Maku.
 
Kumbe ulisikia ila haujawahi kuthibitisha.. unajua kuwa Masheikh wanalipwa na Waarabu ili watetee mkataba wa bandari ?
 
Eti huyu naye ni kiongozi wa dini na wapo waumini wanaomsikiliza.

Sheikh mpumbavu kweli kweli sioni tofauti yake na yule Nabii anayewauzi watu mafuta na chumvi halafu anakwenda kujenga bonge la hotel.
Jiwe gizani,kondoo makelele tu
 
Hizi harakati za kijinga hazisaidii ccm, wala hazitakuja kuisaidia, Mnabaribu tu.
Siyo harakati za kijinga kuna mtu tunamstahi aliingiza makontena ya vifaa kupitia mgongo wa kanisa kutoka vantikan na akafoji saini ya Askofu Emmanuel Mapunda kwasasa hayati,huyo makamu wa raisi msaidizi wa TEC Kasala faili lake lipo,pia nimwalimu wangu mahali fulani kwahiyo usitetee upumbavu,tambua mimi sina chama wala kadi ya chama lakini umeongea upumbavu ilihali ujuhi kitu,kama wewe RC lini ulichukuliwa maoni kuhusu bandari?Tupinge udini
 


Kwenye vita hakuna kustahi mtu, Mbona wao hawajwastahi? Weken facts, sisi ni watu wa haki, na hatuoni haya. Tunangoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…