Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
🙆🙆🤣🤣🤣😆😆Huo ndiyo Waraka wa Mashehe😃😃.
So Ushauri wa Maaskafu kwa serikali unajibiwa na Mashehe na akina Mwijaku na Kitengwe? This is so interesting😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙆🙆🤣🤣🤣😆😆Huo ndiyo Waraka wa Mashehe😃😃.
So Ushauri wa Maaskafu kwa serikali unajibiwa na Mashehe na akina Mwijaku na Kitengwe? This is so interesting😃
Ndivyo yalivyokuambia au uliambiwa na Mchungaji wako mwenye kufuga majini Kama kondoo wake?Majin hayasemagi ukweli hata.
Kwahiyo RC wao hawataki ma viieite?Muda si mfupi sheikh ataanza kutembelea vieitee. Anapambana mno huku kashika tope mkononi kumchafua yeyote anayeupinga mkataba.
CCM imetufikisha hapa. Tuikatae
Migodi wameuziwa wazungu kisa wagalatia wenzenu hamsemi kituMasheikh na waislamu njaa kutwezwa utu wao na waarabu kwao ni Sunna hivyo hata tukipigwa mnada mradi mnunuaji ni muarabu na muuzaji ni muislamu basi wao burudaniiii kabisa. Mijitu ya hovyo isiyotumia akili
HyperopiaViongozi wa Kiislamu Wana tatizo la kuona mbali
Bandari ni kitu kingine ikienda imeenda usifananishe na hayo matatizo mengineMiaka 6 watumishi hakuongezewa mishahara,hao TEC walizurura na waraka?
Bandari ni kitu kingine ikienda imeenda usifananishe na hayo matatizo mengineMiaka 6 watumishi hakuongezewa mishahara,hao TEC walizurura na waraka?
Kwa nini umemubia hivyo??wewe sio muisilamu. Wewe ni kafiri
Tumsikilize shehe mwingine hapaWananchi ndo wanaona mbali... Manyaraka yale yanasaidia tu kuwapa wananchi nguvu
Kontena linapoteajeAkitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.
Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.
Je kanisa linachepushaje makontena? Wanahofia kwamba DP Sasa inaenda kuwabana kwa sababu watakuja na teknolojia?
View attachment 2723583
Watu kama huyu ndio wasiojua kujadili jambo. Waraka wa TEC hautuhumu watu, unaongelea vipengele vya mkataba ambavyo vina matatizo na ingefaa virekebishwe. Yeye anakuja na tuhuma za upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli mbona hatujasikia maaskofu wa TEC wakikamatwa kuhusiana na huo upotevu au wameyapoteza kimuujiza? Kama TEC wamesema vipengele kadhaa vina matatizo kwenye mkataba, yeye angeonyesha ni kwa jinsi gani visivyo na matatizo na vinafanya mkataba uwanufaishe DP World na TPA. Ingekuwa mahakamani mambo anayoyasema ni 'irrelevant evidence'.Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.
Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.
Je kanisa linachepushaje makontena? Wanahofia kwamba DP Sasa inaenda kuwabana kwa sababu watakuja na teknolojia?
View attachment 2723583
Kweli sisi akina ulamaa tunasimama na waraka wa TEC mkataba ni mbovu.Mnajisumbua hata huo mkataba hata sisi waislamu hatuutaki
Msitimie dini kutugawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaepanga msamaha wa kodi ni serikali sasa kama yenyewe itatoa mamlaka yake yoote kwa dp World basi dp World ataamua kufuta iyo misamaha ya kodi kwa waroma na kuwapa waislam wenzao.... si ndio itakua poa enhh??Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.