Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Huo ndiyo Waraka wa Mashehe😃😃.

So Ushauri wa Maaskafu kwa serikali unajibiwa na Mashehe na akina Mwijaku na Kitengwe? This is so interesting😃
🙆🙆🤣🤣🤣😆😆
 
Mpelekeni uani huko akaungane na wenzie kunywa kahawa na kashata, hana tofauti na mwijaku na machawa wengine wasio jielewa
 
Mwambieni huyu shekhe kwamba kanisa katoliki ndiyo lenye dunia.

Na dunia nzima inafahamu kwamba magaidi wote ni waislam. Akina shekhe Mselem wamekaa miaka 6 jela kwasabb ya ugaidi na siyo kupinga uuzwaji wa bandari.
 
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.

Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.

Je kanisa linachepushaje makontena? Wanahofia kwamba DP Sasa inaenda kuwabana kwa sababu watakuja na teknolojia?

View attachment 2723583
Kontena linapoteaje
 
Watu kama huyu ndio wasiojua kujadili jambo. Waraka wa TEC hautuhumu watu, unaongelea vipengele vya mkataba ambavyo vina matatizo na ingefaa virekebishwe. Yeye anakuja na tuhuma za upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli mbona hatujasikia maaskofu wa TEC wakikamatwa kuhusiana na huo upotevu au wameyapoteza kimuujiza? Kama TEC wamesema vipengele kadhaa vina matatizo kwenye mkataba, yeye angeonyesha ni kwa jinsi gani visivyo na matatizo na vinafanya mkataba uwanufaishe DP World na TPA. Ingekuwa mahakamani mambo anayoyasema ni 'irrelevant evidence'.
 
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.

Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.

Je kanisa linachepushaje makontena? Wanahofia kwamba DP Sasa inaenda kuwabana kwa sababu watakuja na teknolojia?

View attachment 2723583
Anaepanga msamaha wa kodi ni serikali sasa kama yenyewe itatoa mamlaka yake yoote kwa dp World basi dp World ataamua kufuta iyo misamaha ya kodi kwa waroma na kuwapa waislam wenzao.... si ndio itakua poa enhh??
 
Back
Top Bottom