ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #101
Hatuigi tuna deliver,Tzn imejaa ma prof njaa na makaratasi kama Hawa with zero outcome.Wewe na huyo shehe ubwabwa mna kipi cha kuiga mbali na udini na uchawa wa kuunga mkono kila kitu??
Watapa wapi msaada bila ropoMsiwe mnakurupuka
Huwa hawaleti solution, hiyo Bandari imekuwa shamba la bibi over years..Wapingaji ndo wazuri maana wanaleta mawazo mbadala.
Hukuwaona wavaa misalaba,kisa kulikuwa ni nini kama sio udini?Sheikh Mwaipopo? ndio namsikia leo, huyu hapa anatoa povu kisa Udini tu na si hoja.
Msomi anaweza kuwa na IQ kubwa ila ana njaa kubwa tofauti na mtu mwenye EQ kubwa ambayo kimdingi ndio maisha yanataka..Huwezi kulinganisha njaa., akili, hekima na upeo wa Prof na huyo shekh wako, mwambie hata Mungu kuna watu wanamkosoa, sembuse huyo mtoka mavumbini.
Ni wapumbavu wasio kuwa na maarifaHuyo shekhe Mwaipopo, na mwingine aliitwa shekhe Kassim, wakati wa utawala wa Mwinyi, walisikika sana, wakati walipokuwa wakitumika na makundi yenye itikadi kali za kiislam, kutukana imani za watu wengine, hasa ukristo. Hana maana yoyote wala msaada wowote kwa nchi hii zaidi ya uropokaji.
Walipenda sana itokee vurugu, lakini watu wenye akili waliwadharau.
wewe na shekhe mpo class moja, ni wa hovyoNaunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
View attachment 2674579
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
===
Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti jambo lolote la serikali tangu enzi za Mwalimu, yeye kazi yake ni kulaani na kukosoa tu.
Amesema kwa mujibu wa waziri Mkuu ni kuwa, TICTS ilikuwa inaipa Tanzania trilioni 7 kwa mwaka ambapo DPW italipa trilioni 20.
Amesema Rais ampuuze Shivji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaitwa shehe Mwaipopo!!!!! Cjawah sikia mnyakyusa mwislamu.
Atuambie yeye ni mnyakyusa au mwislamu? Achague moja maana unyakyusa na uislamu haviingiliani!
Profesa ana kipi Cha kunizidi hata Mimi mkulima? Maisha ya salary ni maisha hayo? Njaaa tuu hamna kitu..professa hawezi kuwa na njaa aisee
Kwani wazungu walipewa mkataba wa maisha kama huu wa bibi ushungiWewe mabwana zako wazungu mbona kwao umeufyata hulaumu kitu? Au hujui wayafanyayo?
Thibitisha kama ni mkataba wa Maisha, portion ya ujinga imezidi portion ya maarifa kichwani kwako ndio maana unateseka.Kwani wazungu walipewa mkataba wa maisha kama huu wa bibi ushungi
Hivi shehe ubwabwa kweli anaweza kutambua maudhui na mantiki zilizopo nyuma ya "analysis" iliyofanywa na mwanazuoni na gwiji wa sheria! Hivi anatambua kazi na wajibu wa mhadhiri wa elimu ya juu?Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
View attachment 2674579
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
===
Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti jambo lolote la serikali tangu enzi za Mwalimu, yeye kazi yake ni kulaani na kukosoa tu.
Amesema kwa mujibu wa waziri Mkuu ni kuwa, TICTS ilikuwa inaipa Tanzania trilioni 7 kwa mwaka ambapo DPW italipa trilioni 20.
Amesema Rais ampuuze Shivji
Kwani hakusoma? Wewe huwezi tambua Hadi usubirie utambulishwe?Hivi shehe ubwabwa kweli anaweza kutambua maudhui na mantiki zilizopo nyuma ya "analysis" iliyofanywa na mwanazuoni na gwiji wa sheria! Hivi anatambua kazi na wajibu wa mhadhiri wa elimu ya juu?
Kuna shekhe kasema waislamu awamu zao zote wanauza nchi sijui ulimsikiaThibitisha kama ni mkataba wa Maisha, portion ya ujinga imezidi portion ya maarifa kichwani kwako ndio maana unateseka.
Huyo profesa wako biashara kaifanya wapi?
Huyi kazi yake ilikuwa kujaza watu ujinga tu.
Ikiwa wanafunzi wake ndiyo kama wewe? Khaa!
Ni mjinga asiejielewa hata Hivyo watu wote hawawezi fanana MtizamoKuna shekhe kasema waislamu awamu zao zote wanauza nchi sijui ulimsikia
Na wewe umechangia nini kwenye Taifa hili???Mdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia Tanzania?