Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Wewe na huyo shehe ubwabwa mna kipi cha kuiga mbali na udini na uchawa wa kuunga mkono kila kitu??
Hatuigi tuna deliver,Tzn imejaa ma prof njaa na makaratasi kama Hawa with zero outcome.
 
Sheikh Mwaipopo? ndio namsikia leo, huyu hapa anatoa povu kisa Udini tu na si hoja.
Hukuwaona wavaa misalaba,kisa kulikuwa ni nini kama sio udini?

Ni mara nyingi kama sio zote Rais akiwa Muislamu lazima RC na wapambe wao walete chokochoko na kupinga Serikali
 
Huwezi kulinganisha njaa., akili, hekima na upeo wa Prof na huyo shekh wako, mwambie hata Mungu kuna watu wanamkosoa, sembuse huyo mtoka mavumbini.
Msomi anaweza kuwa na IQ kubwa ila ana njaa kubwa tofauti na mtu mwenye EQ kubwa ambayo kimdingi ndio maisha yanataka..

Wewe Kwa akili Yako Zuchi na huyu prof wako njaa nani ana watu wengi hata wa kumsikiliza?
 
Huyo shekhe Mwaipopo, na mwingine aliitwa shekhe Kassim, wakati wa utawala wa Mwinyi, walisikika sana, wakati walipokuwa wakitumika na makundi yenye itikadi kali za kiislam, kutukana imani za watu wengine, hasa ukristo. Hana maana yoyote wala msaada wowote kwa nchi hii zaidi ya uropokaji.

Walipenda sana itokee vurugu, lakini watu wenye akili waliwadharau.
Ni wapumbavu wasio kuwa na maarifa
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

View attachment 2674579

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

===
Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti jambo lolote la serikali tangu enzi za Mwalimu, yeye kazi yake ni kulaani na kukosoa tu.

Amesema kwa mujibu wa waziri Mkuu ni kuwa, TICTS ilikuwa inaipa Tanzania trilioni 7 kwa mwaka ambapo DPW italipa trilioni 20.

Amesema Rais ampuuze Shivji
wewe na shekhe mpo class moja, ni wa hovyo
huo upande mwingine ni wabobezi wa sheria, sasa watu wanaojua matobo kisheria unaweza na mjinga mmoja aliyekariri kitabu kitabu tunachoongopewa kilishushwa
 
Anaitwa shehe Mwaipopo!!!!! Cjawah sikia mnyakyusa mwislamu.

Atuambie yeye ni mnyakyusa au mwislamu? Achague moja maana unyakyusa na uislamu haviingiliani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

View attachment 2674579

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

===
Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti jambo lolote la serikali tangu enzi za Mwalimu, yeye kazi yake ni kulaani na kukosoa tu.

Amesema kwa mujibu wa waziri Mkuu ni kuwa, TICTS ilikuwa inaipa Tanzania trilioni 7 kwa mwaka ambapo DPW italipa trilioni 20.

Amesema Rais ampuuze Shivji
Hivi shehe ubwabwa kweli anaweza kutambua maudhui na mantiki zilizopo nyuma ya "analysis" iliyofanywa na mwanazuoni na gwiji wa sheria! Hivi anatambua kazi na wajibu wa mhadhiri wa elimu ya juu?
 
Hivi shehe ubwabwa kweli anaweza kutambua maudhui na mantiki zilizopo nyuma ya "analysis" iliyofanywa na mwanazuoni na gwiji wa sheria! Hivi anatambua kazi na wajibu wa mhadhiri wa elimu ya juu?
Kwani hakusoma? Wewe huwezi tambua Hadi usubirie utambulishwe?
 
Kwani PM alisemaje kuhusu JPM akiwa mahututi ?

Aliyesema JPM yuko fit anapiga kazi ni nani?

Kwa hiyo Shekhe anataka kusemaje Kwa mfano?
 
Kwa uhalisia wanaopinga na wanaokubali wote wako sawa.

Kinachokera ni wanaopinga ukiwauliza kwanini hawakuandamana siku maandamano yameitishwa unapokea matusi tu.

Wanaounga nao ukiwauliza manufaa ya huo mkataba na mawanda yake ni yapi hakuna anayetaja
 
Back
Top Bottom