Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

Binafsi ni mwanafunzi daima, sijaacha kusoma na ln shaa Allah sitaacha kusoma.

Hilo la kusoma ni amri kwangu kutoka kwa Allah, halina mjadala.

Point is, hao wasomi wako wote uliowataja hakuna aliyekuja na historia ya uhuru wa Tanganyika kama nnayojifunza kwa Alama Mohamed Said.

Walikuwa wapi?

Unamfahamu Mshume Kiyate na mchango wake katika uhuru wa Tanganyika?
 
Huyu shekh kasomea elimu ahera haya ya elimu dunia ni mbumbumbu ulimwengu hupo huku.
 
Kwani kipindi cha awamu ya tano kiongozi wa sasa alikuwa nje ya mfumo?
 
Weka CV yake kwanza.
 
Mzee
Hebu tupe mtazamo wako ktk hili
 
Naomba kuuliza hivi Mohamed Said na FaizaFoxy ni mtu na mpwae?
Maana linapokuja suala la kiongozi muislam kukosolewa wanakuwa wakali km kuku kwa vifaranga.
Wapo radhi kuongea UONGO bila hata aibu.
Utaifa kwao sio kitu zaidi ya udini.
Leo sheikh Mohamed Said kapandisha tamko la shehe 'kunuti' wa Mwanza lenye mapungufu na ubaguzi wa kidini ulio wazi bila hata haya.
Watu wa aina hii ni wakuwaogopa sana ktk jamii ni hatari sana kuwa na watu wenye fikra za aina hii.
 

Qur'an 3:103. Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha nyoyo zenu; kwa neema yake mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka. 103
 
Shikamaneni kwenye mambo yanayohusu uislam huko misikitini.
Jamii yetu ni pana sana na ina mchanganyiko wa imani mbalimbali.
Si busara kudhani kuwa wewe u bora kuliko imani zingine.
Je kila mtu akijitenga kwa kufuata imani yake tutakuwa na Taifa?
Na mimi imani yangu inasema hivi "Amwaniye mwana yuna uzima wa milele; asiye mwamini mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia. Yoh 3:36.

Ngoja tusubiri Rastafarian, Budha, Hindu, Wapagani nk nao waje na mistari yao.
 
Wote wakusanyike hakuna atakae kuja na mistari kama ya Qur'an. Hiyo ni challenge iliyomo ndani ya Qur'an.


Unafahamu kuwa Qur'an ni muujiza tunaoishi nao na tunaojivunia nao Waislam kwa zaidi ya miaka 1,400 sasa?
 
Wote wakusanyike hakuna atakae kuja na mistari kama ya Qur'an. Hiyo ni challenge iliyomo ndani ya Qur'an.


Unafahamu kuwa Qur'an ni muujiza tunaoishi nao na tunaojivunia nao Waislam kwa zaidi ya miaka 1,400 sasa?
Yes kuruhani ni muujiza maana mwenye kuimiliki hatambui lugha nyingine zaidi ya kiarabu. Na kufuata desturi za kiarabu kuanzia kula, kuvaa, hadi miziki ni ya asili ya kiarabu.
Yes ni muujiza maana hata mungu wa kuruhani ni Mwarabu.
Na huwezi kuwasiliana nae lazima ujifunze kwanza kiarabu.
Maana hasikii lugha nyingine zaidi ya kiarabu
Kuna muujiza zaidi huu?
 
Hayo uliyoandika yote hayana ukweli, unacheza na akili yako na unajidanganya tu.

Fanya adabu kidogo, inaitwa Qur'an.
 
Hawa vilaza ndio ccm wanawataka kwani hawana mbele wala nyuma!
Hawa ndio janga la Taifa!
 
Du! huyu Shehe ni mjinga kupitiliza.
Huyu Sheikh anaongoza Watanzania mamilioni, wameshiriki kuleta Uhuru wa Tanganyika hadi tuko hapa tulipo, huwezi kumkebehi. Dr Slaa naye ni Kiongozi kama Sheikh, ni Padri, lakini alisaliti Kiapo chake Kanisa Katoliki likamfukuza. Usiropoke wala kutukana, ajenda hii inaendeshwa na Wasaliti waliohongwa na mabeberu. Wengi wao ni wakimnizi majuu, huishi Ulaya wakifanya kazi za upagazi waliikimbia Nchi yetu, hawatutakii mema.
 

Msiwe mnaongea kama vitu hamvijui mkuu, ona sasa unavyo aibika, yani unashindana na mohamed said kweli! Faiza pia kaanae mbali ana elimu kukuzidi wewe mkuu. Waabheja sana nkoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…