Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

Acha wenge mdogo wangu. Upo nyuma ya keyboard hakuna anaekujua. Embu shusha nondo mkuu.
jsdkjadsdgs kasdudud ghaSJAHSJAKJas jASGasgaSJa, hapo ukisema hujaelewa rudi shule mzee.
 
Nimeipenda hiyo holly ghost father's nataman ungeielezea kiundan
 
Hayo ni mashirika ya kitume,je yalikua chini ya east africa association ya kipindi hicho kabla ya kuvunjika?
Holly ghost father's ni kanisa la kitume???


Kwa nin wamechagua jina lenye maana mbaya au nimeshindwa kutafsir kiusahih
 
White fathers walikuja kueneza injili na si vinginevyo
Nanta...
Ni kweli usemayo lakini ukisoma historia yao muasisi wa White Fathers anasema madhumuni ya kuja Afrika ni kueneza Injili na kuitoa Afrika gizani.

Anazungumza kuhusu, "Dark Continent."

Soma historia ya White Fathers utaongeza maarifa yako.
 
Huu sasa ni upuuzi, kuna watu wanatetea rasili mali za nchi, wengine wamekomalia udini.
 
Nanta...
Ni kweli usemayo lakini ukisoma historia yao muasisi wa White Fathers anasema madhumuni ya kuja Afrika ni kueneza Injili na kuitoa Afrika gizani.

Anazungumza kuhusu, "Dark Continent."

Soma historia ya White Fathers utaongeza maarifa yako.

Ndio walivyoamini hivyo,sidhani kama ilikua kosa lao kuamini na kufanya hivyo mana ndio utume wao,kama vile wewe unavyoamini na kuupigania uislamu,youre no different from them,tofauti ni kwamba wewe unaongozwa na chuki ila wao wanaongozwa na upendo na mfumo ulio imara ndio mana kila siku wanaendelea kustawi na kuenea.
 
Elimu dunia nayo ni muhimu sana kwa viongozi wetu wa dini la sivyo ndio kama haya.
 
Hilo li dua feki hata halitishi, mlipomsomea muislam mwenzenu JK Albadili alipata madhara gani?

We shehe ubwabwa kama hujui kusoma na kuandika acha wenye akili wakufunze uone upuuzi wa Waarab tuone ka utaukubali. Suala sio dini ni uozo wa mkataba!
 
Huyu si ndiye sheikh masheikh wenzie, mwaipopo, majini walimtukana mno kuwa ni sheikh uchwara, mhuni, tapeli, mchawi, mwizi, fuska, na kadhalika? Walimwanika hadharani kweli kweli huyu.
Dini nyingine bwana!
 
CCM sio chama perfect wana mazuri na mabaya lakini kwa tabia hizi wanazozionesha Chadema ni hatari sana kwa nchi hii, maana tabia ya mtoto unamuona bado akiwa mdogo. CCM wanavumilia wanatukanwa lakini dola wanashika wao wangeweza kufanya mambo ya ajabu ila wameachia watu kuongea.

Sasa hawa wenzetu Chadema, hawana power, hawajashika hata u mayor tu lakini wewe toa maoni yako tofauti na wanavyotaka kusikia utatukanwa wewe, kahongwa , michawa na block unapigwa... Sasa kweli nyinyi mkija kushika nchi hii si itakuwa balaa. Maana mwenyekiti wenu tu hakuna wa kumgusa ukitaka ku challenge nafasi yake tu utapata habari yako, mtu zaidi ya miaka 20 mwenyekiti utasema karithi. JPM Mungu angempa umri alikuwa anafukia hichi chama na aliweza maana walifyata mikia, Rais Samia alidhani kuwa mkarimu ataweka mambo mazuri lakini nikiri kosa kubwa alifanya angeshika palepale JPM alipoachia. JPM alijuwa hawa hawana nia njema na nchi hii na sasa tumeanza kuwaona. Hawataki kupingwa wala hawakubali kuwa kuna watu wanapenda CCM.

Angalizo kwa wapenda amani, tupinge mabaya bila matusi ila tuepuke hichi chama CDM kama ukoma hawa hawafai hata kuwepo kwenye siasa za nchi ni watu wabaya tena wabaya kupitiliza. Jini ulijualo.... utamalizia.

CCM zibeni masikio kwa muda tokemezeni hichi chama haraka warudisheni kwenye mapango yao before is too late, usifanye mazoea sana na mbwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…